Monday, April 25, 2011

TUMECHOKA KUONEWA NA WATANGANYIKA


 

Mzee huyu ambaye ni miongoni mwa wananchi waliochangia katika mjadala wa kukusanya maoni juu ya uundwaji wa kamisheni ya ukusanyaji maoni ya katiba mpya ya Tanzania akilia kwa uchungu akisema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa ikiionea Zanzibar kwa miaka kadhaa bila ya kuw ana huruma jambo ambalo wazanzibari wanaishi kama mayatima katika nchi yao kutokana na maonevu wayapatayo ambapo aliangua kilio katika ukumbi huo wakati akitoa maoni yake

No comments:

Post a Comment