Saturday, May 14, 2011

GERMAN COLONIES TANGANYIKA (aka GERMAN COLONIES - TANGANYIKA) - British Pathe

GERMAN COLONIES TAN GAN (aka GERMAN COLONIES - TANGANYIKA) - British Pathe

hii ni kuwathibitishia wale wanaosema kuwa warabu walikuwa wakiwauza wafrika. je munajuwa kama waliyokuwa wakiwauza watanganyika na kuwafanya watumwa wao ni nani na nani....? kama hujuwi bonyeza hapo juu ndio utajuwa aliyekuwa akiwachukuwa watanganyika ktk mikoa yao mbali mbali na kuja kuwauza zanzibar. kisha kusafirishwa nchi za ulaya na visiwa vya jamaica,cuba,bahamas,virgin island,dominican,antillian islands,suriname na kama vili panama na kathalika. kwajili ya kwenda kulima miwa,pamba na tumbaku wakilimishwa huko kwenye hivyo visiwa nilivyo vitaja sio kama nawatete warabu bali kama wao walifanya biashara ya utumwa mbona hawa wengine waliyokuwa wakija kuwachukuwa wafrika ktk nyumba zao haswa hatuwataji au kwakuwa leo ndio wenye kutupa viza na chocoleti . basi ndio tunajisahau na kuangaliya upande moja tu watanganyika wengi hawajuwi kama wao au babu zao walikuwa watumwa na mchawi wao hayuko mbali mpaka leo bado wanamkubatiya na kuwatukana wengine. je ni kwasababu ya utumwa au munaingiza udini  ndani? kwahiyo tusiwe kama majuwa na kuwakubatiya wabaya au kuchanguwa kama huyu ni mbaya na huyu ndiye ila kwakuwa anatupa viza siku hizi basi tumsamehe mbaya ni mbaya tu na ndio maana mpaka leo wafririka hatuendelei mbele. sasa kama munawambiya wazanzibar walikuwa watumwa wa warabu na nyinyi watanganyika mulikuwa watumwa wa............... na mukiletwa zanzibar kuzwa na kupelekwa ktk hivo visiwa hapo juu nilivyovitaja na hizo nchi nilizo zitaja hapo juu na sasa zanzibar inatawaliwa na mkoloni mweusi mtanganyika na wazanzibar wanataka nchi yao iwe huru kama ilivyopewa uhuru wake 1963 mungu ibaraiki zanzibar.

No comments:

Post a Comment