Friday, May 20, 2011

JE NCHI ZA AFRICA NI MASIKI AU VIONGOZI NDIO WANAOWAFANYA WAFRICA KUWA MASIKINI..?

alikuwa akiwambia wananchi wake nchi masikini hii ni nchi dogo mafuta yamepanda kama wanavyotuambia maraisi wetu zanzibar lakini angalia habithi anavyo wathulumu watu wa tunisia yeye na mke wake na watoto wake na familiya yake rai waache wafee na
jaa
jione mathahabu na maalmasi na malulu aliyomnunuliya mke wake yalivyo jaa na jinsi gani ghali pia hili ni kabati la vitabu vyake ila angalia ndani kuna nini na kumbuka alilazimishwa kuondoka tunisia na aliondoka na denge yake ukumbuke ni ngapi alizobeba ndani ya denge yake na hizo ndizo alizoziwacha nyumbani kwake mamillioni kwa mamillioni ya pesa za kila nchi kisha wangaliye wananchi wa tunisia wanavyo hahah na maisha na ndio yanayofanywa zanzibar mawaziri wabunge maraisi na wake zao mathahabu kibao na malmasi na malulu na darajani kunanuka watu wanaliya na njaa wazenji amkeni
angaliya majumba wanayoishi wao na familiya zao na hizo ni pesa zetu tunazo lipishwa makondi ndio wanazojengeya majumba makubwa makubwa ya kifahari ila watunisia wameamuwa moja tu kumtimuwa na kuanza upya
angalia mamillioni kwa mamillioni kweli maraisi hawa wa african wanahuruma na wananchi hawa kisha wanatuambiya nchi masikini mara mafuta yamepanda mara ikonimi kraisesi upumbavu mtupu majizi makubwa majambazi makubwa wauwaji wakubwa maraisi wa AFRICAN na ZANZIBAR ndio iko ktk mkondo huwohuwo maana mawaziri na wabunge na maraisi waliyo stafu mpaka leo wanaishi swafii ila wananchi wa zanzibar wanahaha masikini maji hakuna taa hhakuna hatakama ziko hazishi kukatwakatwa na hukutunalipishwa madeni makubwa makubwa wazanzibar amkeni.
haya huyu ni mubarouk yeye pia ana billioni ktk kila nchi kuanzia amerika mpaka uengereza mpaka swisi pia na hizi ni pesa wanazo fikiria tu hawa sio zote wanazo zijuwa na angaliya watu wa misri walivyokuwa wakihaha na maisha.
huyu kweli ni raisi au jini maana mapesa yote haya yakazi gani..?
wanaiba pesa za rai wao na kuziweka ughaibuni ili likitokeya la kutokeya wanakimbilia huko kujificha angaliya kwenye nyumba wanazuishi ndani ya nchi kunatafautigani na maraisi wa stafu wa zanzibar na wabunge na wawakilishi wote wanaishi maisha ya juu kabisa na huku masikini za mungu wakilazimishwa kulipa makodi na kunyanyaswa na umeme na maji
huyu ni gaddafi na majumba yake na majumba ya watoto wake huko ughaibuni jamaa huu kweli ni ubinadamu kweli mtu moja anataka kuwa na majumba mangapi..?
huyu ni mtoto wa gaddafi anakula raha tu na kusifuja pesa za walipokodi masikini za mungu wa libya baba raisi mtoto anavunja mifupa na pesa za masikini wa libya
ona masikini za mungu huko libya wanavyo jikombowa
ona mtoto wa gaddafi anavyoponda mali je ni wa gaddafi tu au ni maraisi wote wa afrika nzima watoto wao wanaponda mali za walipakodi masikini wanaovuja jasho kama punda na watoto wao hata habari hawana wanakula raha tu
msikilize mtoto wa kaddafi anavyosema ndio utajuwa wakishachanganyikiwa wanasema kweli wapi pesa walipozipeleka na wanaropoka kama makopo ya takaa
jione mwenyewe jinsi watoto wa raisi gaddafi wanavyoponda mali na huku kuna wananchi hapo hapo libya wanahaha kutafuta mkate wa asubuhi wao ndio kwanza wangusha mapati baada ya mapati
muangaliye gaddafi alivyo kuwa mroho wa madaraka na utamu wa kutawala watu alivyochanganyikiwa mpaka ana rap hahahahaha
muone hapa gaddafi anavyo pita mitaani akiwasimamisha wanawake wa kilibya kisha akiwatisha kuwa wao sio walibya je huyu kweli ni kiongozi kweli au muhuni tu..?

je natujiulize sisi wazanzibar toka 1964 nchi hii imepita zaidi ya mairaisi sita na sasa wasaba lakini nchi iko pale pale na inazidi kurundi nyuma. ila mawaziri na wabunge na jaji wakuu na maspika na maraisi wote wastafu wangeliyeni wanavyo inshi maisha yao. na watoto wao na wake zao na jamaa zao lakini wananchi ndio kwanza. je hao mawaziri na wabunge na maraisi wastafu wa zanzibar wanatafauti gani na mubarouk,gaddafi na ben ali..? maana wote wanaiba na kuondoka na nchi iko vile vile kisha wanatuambiya nchi masikini hii na mafuta yamepanda. ndio maana maisha magumu kube watoto wao wakifanya birthday part au part to yoyote wanawalika waimbaji wakubwa wakubwa kutoka amerika na sehemu nyengine mbali mbali. pia wanamajumba ughaibuni kuliko hata hao wazungu wenyewe. afrika sio masikini tusikubali kabisa msemo huu wakijuha ila afrika viongozi ni wezi,matapeli,majambazi,wauwaji,wanyonyaji,wadanganyifu,waongo na nimajuwa. maana wakitimuliwa nchini kwao huko walikozificha pesa wananmbiwa zimetaifishwa hawapewi kitu sasa siujuha huo. sibora uwape wananchi wako na kuijenga nchi yako pengeni hata wananchi hawatataka tena uondoke ila wao hawana akili hizo wanafikiriya matumbo yao tu nikama walifi au watapiya mlo haya basi zanzibar tuombe mungu mara hii na serekali ya SUK AU GNU ifanye vizuri wakituleteya za kutuleteya na wao pia wangolewe tu hakuna tena kuonana muhali tena wote kuanzia raisi mpaka sheha.

No comments:

Post a Comment