Monday, May 2, 2011

JE ZANZIBAR IKIVUNJA MUUNGANO JESHI NA POLISI WALIYOJAZWA ZANZIBAR WATAENDELEYA KUTULINDA AU WATATUBADILIKIYA??

nchini zanzibar
                                           KM KM YA ZANZIBAR


hawa ndio FFU je ni vijana wakutoka shangani,malindi,mkunazini
au kitope,mwera,makunduchi??

jeshi na ffu wakitowa kibano kwa rai
nchini zanzibar

hamusiki kama hawataki muungano
je hata kusoma pia hamujuwi??

kiubabe ubabe tu mukitaka musitaki
RAI ASIYEKUWA NA HATIA
BAADA YA KUPATA KIPIGO
NA POLISI HAPA ZANZIBAR
HICHI NDIO CHUO CHA POLISI ZANZIBAR JE WAZENJI
JE KUNA MTU UNAMJUWA HAPA?

wananchi wenye uchungu na hamu ya nchi ya zanzibar
wakijaribu kufikisha ujumbe wa kutaka nchi yao ya
zanzibar kuwa huru thaidi ya tanganyika inayo
jaribu kuitawala kwa mabavu.

hawa ndio polisi wapya waliyoletwa zanzibar
na wamepatiwa baskili za bure basi sasa
wanasubiri kutimiza kazi tu waliyo
letewa

PINDA
nyinyi wazanzibar zanzibar sio nchi kanchi kinyewe
hata wilaya moja ya tanganyika hamuifiki kisha
munatuambiya ni nchi na munataka kiti cha U.N.
HAYA JARIBUNI MUONE.

Wakimsumbuwa masiki mwenye kujitafutia
RIZIKI YAKE

HIVI KWELI DUWA ZAO ZINAPANDA??

HAWA NDIO VIONGOZI WA ZANZIBAR
MAJENERA WA VIKOSI TAFAUTI NA
WOTE WANA SINZIA
JE WANCHI WA ZANZIBAR
TATAFIKA KWELI TUNAKOTAKA KWENDA??

WANAOGEZANA VYEO WAO KWA WAO UTAFIKIRI
WANAKWENDA CHOONI NA KUTOKA


ZANZIBAR NCHI KADONGO LAKINI KATAMU SANAA

SHEIN UKIAMUWA KUVUNJA MUUNGANO NA TANGANYIKA HUYU
ATAKUHAMI  WEWE AU........??

kamanda wa jeshi la polisi

hivi ndio jeshi anavyo walinda wazanzibar??
je hii ndio demokrasi ya askari kuzui watu kusema wanalolitaka??
viongozi mumebana tu kimyaa.

ikiwa muungano utavunjika hawa watatulinda au watatugeuka??

je hizi ndio haki za binadamu??

unafanya nini huku kisiwani wewe?

je hawa ni vijana wa zanzibar?

akishikwa na maumivi ya kipingo alicho pewa na FFU

ndio wanatulinda au ndio wanatupiga?

kikosi maluum nchi zanzibar

hawa ndio majashi wa zanzibar je yupi ktk hawa
anayetokea mtendeni,mwembetanga,michezani
au mfenesini?

wachieni wao wawe majeshi sisi tunakula kwanza.
muhogo umekoleya nazi kweli kweli wachaa wee habu
jaribu hizi tambi kwanza na hilli shelisheli ndio useme.

mukimaliza kulaa nchi tushaichukuwa.

daini nchi yenu ya zanzibar muone huwo ni msemo wa pinda
maana anajuwa kama washatutawala na huu ni ushahidi.
tuna bendera inapepea lakinini jeshi ni laaa?

je mzee karume ungelikuwepo ungelikubali hawa watutawale?
babu hebu angaliya zanzibar yako inavyo fanywa hapo nchini.

hizi ni moja ya faida za muungano.je hivi ndivyo tulivyo wa wazanzibar kweli?

au hawa ndio wazanzibar?

KARIBUNI ZANZIBAR MPYA
KIZAZI KIPYA

No comments:

Post a Comment