Thursday, May 19, 2011

NI NANI ALIYOWAFANYA WATANGANYIKA KUWA WATUMWA NA KUWATAWALA..?


haya ndio aliyoyafanya mjerumani tang  mbona hamuyasemi..?

vipi.....?

je mutakata kama mjerumani aliwatawala na kuwatumiliya nyinyi watang

haya ndio aliyokuwa akiyafanya mjerumani kuuwa na kuwa uzaa watang

waliyowafanya watang  watumwa hamuwasemi sio..?


hapa ni dar es salaam vipi mbona sioni mtang...?

je munajuwa kama chifu wenu wa kijiji ndiye aliyekuwa akiwauza kwa wajarumani..?




hata nyumba mulikuwa hamuna....?

nguoo pia .....?

nani aliyewatiya minyororo ya shingo na kuwafanyisha kazi bila malipo..?



vipi...?

ramani ya utawala wa kijerumani nchini tanganyika na mungereza na mreno.

angaliya picha vizuri utaona mwenye kofia na masharubu ndiye aliyewafanya nyinyi watumwa au bado munawaogopa mpaka sasa..?


tanganyika enzi hizo

angalia hii picha kisha ndio utajuwa ni nani aliwafanya watanganyika kuwa watumwa na kuwauza.

ni nani hao waliyo vaa kofia na masharubu..?
pia angaliya hawa watanganyika wameshika nini katika
mikono yao mm sistajabu mambo waliyoyafanya 1964 zanzibar

chifu akimueka sawa moja wa vijiji huko tanganyika

wakiuzwa na kununuliwa kwa pesa za kijerumani unaona hapo ushahidi..?

hapa wakibebeshwa mizingo na mjerumani


         hii ndio mali iliyokuwa ikija kuwa bebe hao watanganyika waliyouzwaa
[Askari.jpg]
mjerumani na kikosi chake cha watu wa bagamoyo

kama huti amri huu ndio mwisho wako wakati wa mjerumani.

moja tu ndiye anajuwa kusoma katika kila watu 9

Yakobo Lumwe, ambaye pia aliitwa Yakobo Ng'ombe, alikuwa ni Mchungaji wa kwanza mwenyeji wa kanisa la kiprotestanti pwani ya kaskazini mwa Tanganyika. Alitumika ndani na katika mzunguko wa maeneo ya Tanga mjini, sehemu ambayo sasa ni ya Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri katika Tanzania. [1] Maisha yake na kazi ni mfano wa kusifu jinsi gani wakristo wananchi walivyojishughulisha katika kueneza Injili na kujenga kanisa pamoja na wageni wamissionari.

wajerumani nchini tanganyika

Baada ya kuwashinda Wajerumani, Waingereza walitawala nchi. Waliipa nchi jina jipya Tanganyika Territory. Wajerumani wote hata wasio wanajeshi walifukuzwa. Hivyo P. Joseph Laane, Mholanzi wa shirika la White Fathers aliteuliwa Administrator Apostolic wa Dar es-Salaam mwaka 1918 na pia wa Lindi mwaka 1919. Hivyo watu walidhani huu ni mwisho wa kazi za Wabenediktini Wajerumani lakini waengereza hawakumfukuza huyu walimuacha endele na kazi ya ya kuwabatiza watanganyika.

Hawa ni wabatizwa wapya wa huko Kigonsera mwaka 1926. Miaka ya 1920 na ya 1930 ilikuwa muda wa ubatizo wa wengi huko tanganyika.

waswahili wanasema mwenye macho hambiwi tizama.
mjerumani kawafanya hivi enzi hizo sasa wanajifanya wenyewe
wanapokuja zanzibar sio ajabu wao kuwa hivi toka enzi na enzi

hili duwara ndio walipokuwa wakiwawake mpaka wakiwasafirisha

Orlogskaptajn Edmund L. Rhoades
jione ni nani aliye wafanya watang kuwa watumwa

Railway head quarters Nairobi

Dar-es-Salaam Railway Station 1930's

Railway Hotel Dar-es Salaam




DAR ES SALAAM

Wajarumani wakiwafundisha watanganyika kwa kwenda vitani
Soldater fra Abteilung Möwe
hii picha imepingwa kigoma mwaka , 27. januar 1915.

Tysk Østafrika
jione mwenyewe jinsi mjerumani na wareno walivyokuwa wakiwaniya
tanganyika na kuigawa vipande vipande kama yao leo muna mdomo
wakuwatesa wazanzibar sio....?

mzinga au ndio mtutu wa kijarumani

ni moja wa bibi wa watanganyika

JE MUTASEMA ALIKUWA NA HURUMA..?

TAYARI KWA KUUZWA NI WATANGANYIKA WALIYOKUWA WAKIUZWA NA MJERUMANI ILA LEO WATANGANYIKA HAWATAKI KUJUWA HISTORIA YAO.

ona picha hii nani aliyeshika bunduki..?ndio utamini mulikuwa mukiuzana wenywe kwa wenye nyinyi watanganyika ila sasa hamutaki kumjuwa mchawi ni nani sio..?

KAZI YA MJARUMANI MUNAIYONA WATANGANYIKA...?

je aliyeshika bundiki nyuma yao ni nani..?mulikuwa mukiuzana
wenyewe kwa wenyewe ila sasa hamutaki kumjuwa mchawi wenu sio.?

pesa zilizotumika miaka hiyo mulipokuwa mukiuzwa na mjarumani
nyinyi watanganyika ndio hizi je munasomeshwa haya maskulini mwenu
huko tanganyika au ndio zile zile za mkwawa shujaa ahahaahah nyerere kawaweza kweli nyie.

7 comments:

  1. nini maudhui ya website yako sijakuelewa???

    ReplyDelete
  2. kama hujanielewa basi rudi tena skuli ukasome kisha ndio uje kwenye wbs yangu usome tena utanielewa tu ni nini madhumuni yangu bila ya wasi wasi.

    ReplyDelete
  3. UNATETEA WAARABU AMBAO NDIO CHANZO CHA BIASHARA YA UTUMWA. WAARABU WALIWATESA SANA WAZANZIBAR. UTUMWA WA KIARABU ULIKUWA MBAYA ZAIDI. HAWANA UTU HATA KIDOGO! INAWEZEKANA NA WEWE UNA ASILI YA KIARABU. KWA SASA HUTATUTESA KAMWE. UTAANZIA ANAOJIPENDEKEZA WAPI. UTAWATESA WANAOJIKOMBA KWAKO!

    ReplyDelete
    Replies
    1. KWELI WAARABU WATAPATA HUKUMU KUBWA KW2A MUNGU,WANA KILA AINA YA UBAGUZI NA MATESO YA KINYAMA.

      Delete
  4. MIMI SITETAI WARAABU ILA TU NATAKA UKWELI UJULIKANE KUWA NI NANI ALIYE WAFANYA WATANGANYIKA KUWA WATUMWAA JARIBU KUELEWA HAPO KWANZA KISHA ELEWA HAPO NDIO TUTAZUNGUMZA ZAIDI UNAONYESHA BADO HUJAELEWA.HAKUNA HATA MZANZIBAR MOJA ALIYEKUWA MTUMWA NAKAMA ALIKUOKO BASI MAMA YANGU NA BIBI YANGU WALIKUWA WAWE WATUMWA NA HAWAKUWA WATUMWA NA WALIKUWA WAUSI.UKISEMA UTUMWA WA KIARABU ULIKUWA MBAYA SANA MBONA SEHEMU YA KUHIFADHIA WATUMWA ZANZIBAR IKO NDANI YA MAKANISA JE NINANI MWENYE MAKANISA AU UNAOGOPA KUSEMA UKWELI...?WATU WA ZANZIBAR WOTE HAKUNA ASIYE CHANGANYA DAMU WOTE WAMECHANGANYA SASA UNAPOSEMA SITOKUTESA TENA INAONYESHA THAHIRI KUWA WEWE SIO MZENJI BALI NI NYIKAA ULIYE TUNYANGANYA UHURU WETU NA SASA UNAJUWA KUWA WAZENJI WASHA AMKA WEWE SASA UNAJARIBU KUJIHAMI KABLA HATUJAKUAMBIA BOAT ILE RUDI KWENU BUKOBA,MTWARA N.K.NAULIAZA TENA NI NANI ALIYEWAFANYA WATANGANYIKA KUWA WATUMWA

    ReplyDelete
  5. Tatizo huijui historia ya zanzibar, je hujijui kuwa wewe ni zao la watumwa walio telekezwa hapo znz, unaweza kuorozesha vizazi vyako kumi, kwa taarifa yako babu yako wa kizai cha saba tu alikuwa ni mtumwa, na huenda akawa ni mmatumbi, soma kwanza acha matusi

    ReplyDelete
  6. wewe uliye soma habu tuambiya unatoka nchi gani..?
    ikiwa mimi babu yangu kizazi cha saba ni mtumwa je babu yako kizazi cha ngapi ndio mtumwa wa kutoka nchi gani na katelekezwa katika nchi gani..?

    DONT BELIEVER EVERY THING YOU READ STUPID

    ReplyDelete