Thursday, May 19, 2011

POLISI WA ZANZIBAR MBONA HAMUWAKAMATI WANOLETA MADAWA YA KULEVYA(DRUGS)KAZI KUONEYA WANANCHI TU.


tunawambiya vijana wetu hawawezi kuwa polisi wala jeshi
huu ndio mwisho wao basi je shein unaona haya

ndio maana wengi wanapata ukimwi kwa kutumiya
sindano moja na kathalika vipi mambo haya..?

hao polisi waliyo jaa znz kutoka bara wanafanya nini..?

vijana wanapukutika tuu.

vijana wanamalizana tuu.

unawamaliza vijana zanzibar hao polisi
wanafanya nini mbona hatusiki mtu kashikwa
air port au bandarini zanzibar na kuna polisi..?

ona athari zake

cocaein hii

hivi ni kweli vijana wote hawa hakuna wakuwa polisi au jeshi znz..?
au ndio wanafanya wawe hivi maksudi ili tuletewe watu kutoka bara..?
kisha siku za kuchanguwa raisi wao ndio wanauwa wazazi wetu maana
vijana washawauwa kwa unga na bangi au sio..?

vijana wakulilinda taifa la znz wengi wao wanapukutika kwa drugs vijana wacheni
na tuelimishane na tushirikiyana ili tulilinde taifa latu la ZANZIBAR

SUMU INAWAMALIZA VIJANA WA ZANZIBAR

UKIONA HIVI UNAWEZA KUCHEKA AU KUONA KAMA JAMAA MISHO
KUMBE NDIO KUJIMALIZA HUKU MAANA MOSHI UNATOKA NJE NA ULIO
INGIA UBONGONI KWAKE NI MWINGI KULIKO UNAOTOKA NJEE JE VIPI
KWELI HUYU DUNGU YETU ATAPONA KWELI  IKIWA NDIO KILA SIKU NI HIVI..?

BANGI IKIWA SHAMBANI

tayari kwa kuziwa vijana wetu wafee


huyu ni moja wa majeshi ambaye anajaribu kukomisha unga na bangi.sisi znz tunamajeshikila kona ya kichochoro na bangi na unga unauzwa kama kibuwa cha asubuhi sasa hao majeshi wakutoka bara waliyo jaa znz kazi yao ni kupinga watu wa znz tu na kuuwa watu siku za uchanguzi na kutiya dada zetu mimba sio na kuwawacha na watoto wa haramu je wazanzibar kweli tunataka majeshi kama hawa nchini kwetu..?

hapa ni darajani angaliya wanavyompinga huyu kijana
lakini uaskari wao wote ni kupinga wazanzibar tu mbona
hawawapingi waletaji unga na bangi hapo zanzibar..?
nimekumbuka wao washakatiwa chao ndio maana.

polisi ni kuwahami wananchi na kuwalinda wao na mali zao lakini cha ajabu hao polisi wakuwahami na kuwalinda wao na mali zao ndio wao wanao wapinga na kuwaoneya na kuwanyanyasa mbona hawawapingi wauza unga
na wauza bangi na charas au mbona hawawapingi waleta unga
na madawa ya kulivya hawa wote sio pilisi ni maharamia waliyo
vaa nguo za polisi.

wakamateni kama hivyo wanaoleta
haya mambo kama kweli nyinyi polisi

polisi mbona hamuwakamati wanaoleta haya masumu mpaka vijana wanaagamiya
namna hii au na nyinyi polisi wa zanzibar mushakatiwa cheni ndio maana mumebana
kimya munawacha vijina wakipukutika tu.

wewe polisi utakubali dungu yako awe hivi...?

ona jinsi vijana wanavyomalizika.

au utakubali dada yako awe hivi..?

dungu zetu wanamalizika tu hapa znz na kunapolisi kibao hawakamati watu wanao
uzaa wala wanaoleta haya masumu polisi wa znz wanajuwa kuoneya rai wasio na hatiya basi.

huyu ni wa kuwa na mke na watoto angaliya anavyojimaliza.

hii ndio haroweni inayomaliza dungu zetu znz

ona jinsi mahali palivyo pachafu ila wao hawajali wanataka kupona tu.

ona ilivyokuwa ni dongo ila haghali na athari zake ni kubwa sana

m/mungu awasaindeye wote wanao jitahidi kuliwacha hili zimwi la madawa ya kulevya

ona inavyo athiri ubongo wa mtu.

unga wa kulivya

unapimwa na kutayarishwa

una sasa walivyo ugawa ili wanuse

teja akijaribu kunusa au wanavyosema wenyewe kupona

sumu inawamaliza vijana

masindano wanayatupa kila mahali ni hatari kwa watoto wadogo au
hata watu wazima ikikuchoma hujuwi aliye tumiya anamarathi gani bila
ya kujuwa unajishutukiziya na wewe unamiradhi ambayo hukuilaliya
wala hukuiamkiya wazanzibar tujichungeni tunavyopita majiani na vichochoroni

washahitimu na wewe unawapa shahada tuone kama watawakamata wano leta madawa
ya kulevya zanzibar

kama polisi kweli hebu washikeni wanaoleta madawa ya kulevya sio kupinga wanyonge
siku za uchanguzi na kuuwa wapemba kama nyinyi kweli polisi komesheni madawa
ya kulevya hapa znz yasingiye.

manyota kibao mabengani kwa kazi gani waliyo ifanya..?
mpaka wakawa na manyota na mamwenge au hiyo
ya kuwapingisha watu wa zanzibar siku za uchanguzi..?
na kuwaulisha  masikini za mungu pemba..? maana majambazi
wameja na madawa yakulevya yanauzwa kama maharangwe
nawala hamuwashiki wanayoleta hayo madawa ya kulevya.

wameja barabarani wanafanya nini..?kama sio kutaka kuwapa watu kesi
ili wawezakula haramu kweli wao hata haramu hawa hawaijuwi

hili ndilo wanalolijuwa kusumbuwa wananchi
basi atajidai kuangaliangaliya wee kisha anampa
kesi basi hapo sasa mpaka amtowe pesa ndio
amuwachiye mambo ngani haya....?

je polisi wa usalama wa barabarani umesikiya wapi kupiga mwananchi...?
ndio nikasema pale juu hawa sio polisi ni maharamiya wameletwa kuwamaliza
wazanzibar ona hapa ushahidi kamili kama hamuamini maneno yangu wengi wenu
mushatembea nchi za nje je uliona wapi askari wa usalama barabarani kupinga mtu
ni hapa zanzibar tu ndio kuna mambo hayo.

ana vyeo mpaka yunifomu inachanika kwa vyeo haya
lipi analolifanya mkuu huyu wa polisi na madawa ya
kulevya yameja kila kona zanzibar.

angaliya wanavyojuwa kunyanyasa wananchi.

wanapewa vyeo kwa kumwanga damu ya wananchi waliyo wanyonge na wasio na hatia.

No comments:

Post a Comment