Monday, May 9, 2011

WATU WAWILI WANASWA NA UMEME NCHINI ZANZIBAR NA KUFA PAPO HAPO


Wanainchu kuchukuwa mwili wa mmoja wa Marehemu Asha na Mahmeil waliokufa kwa ajali ya kunasa na Umeme katika mtaa wa Kwahajitumbo wakijaribu kurekebisha antena ya TV na mauti yakawakuta. Mungu awalaze mahali pema peponi Amin.

No comments:

Post a Comment