Wednesday, June 8, 2011

BAJETI ITAWAFIKIYA WANAO IHITAJI AU ITAISHIA MIDOMONI MWA MAJINAMIZI YA BUNGENI YASIYOSHIBA WALA HAYANA HURUMA..?

WANANCHI WATAKA MAISHA
 MAZURI KAMA MUNAYO ISHI NYINYI
 VIONGOZI NA WAKE ZENU NA WATOTO WENU
Waandishi Wetu, Dar na Dodoma
MACHO na masikio ya mamilioni
ya tanganyika na zanzibar
 na wadau wa nje, jana yanaelekezwa Dodoma
ambako Bajeti ya Serikali.
 kwa mwaka wa fedha 2011/12 itasomwa.
Wananchi wengi wamekuwa na shauku ya kujua
 mwelekeo wa bajeti hiyo hasa katika kipindi hiki
 ambacho wanakabiliwa na hali ngumu ya maisha
 iliyotokana na kupanda kwa bei
 vyakula na bidhaa za mafuta.














Kwa takriban wiki nzima iliyopita, baadhi ya wananchi
wamekuwa wakituma ujumbe mfupi wa
 maandishi kwa simu
 katika vyombo vya habari wakiisihi
 serikali kuhakikisha
 kuwa bajeti ya mwaka huu
 inawaondoa katika hali ngumu ya maisha.

Bajeti hiyo itakayosomwa bungeni na Waziri wa
Fedha na Uchumi,
 Mustafa Mkulo itatangazwa
 kwa wakati mmoja na bajeti za serikali
za nchi zote za Jumuiya ya
 Afrika Mashariki (EAC),
katika mtazamo wa kuimarisha
mshimakano na umoja wa nchi hizo.

Kwa kawaida na mazoea ya muda mrefu,
bajeti ya serikali imekuwa ikisomwa siku
 za Alhamisi ya wiki ya kwanza ya Juni
, lakini mwaka huu imebadilika ikielezwa
 kwamba hiyo ni kutokana na siku hiyo
 kuangukia siku ya Uhuru wa Uganda.

Akizungumza bungeni jana asubuhi,
Spika wa Bunge,
Anne Makinda alisema bajeti hiyo
itatanguliwa na hotuba ya hali ya uchumi
itakayosomwa pia na Waziri Mkulo.
Alisema hotuba hiyo itasomwa asubuhi,
wakati ile ya bajeti itasomwa jioni.
huyu ndiye anne makinda

JUMBA LA MAJINAMIZI YASIYO SHIMBA WALA KUWA NA HURUMA NA
WANANCHI WAO NI WAO TU NA FAMILIYA ZAO KUJIRUNDIKIA MALI

Baadhi ya mawaziri akiwamo Mkulo wameifagilia bajeti hiyo
 huku Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania (CTI)
likitoa mapendekezo na matumaini yake.

CTI: Tunataka bajeti ya uchumi wa viwanda

Shirikisho hilo limesema kuwa linaisubiri kwa
 hamu bajeti hiyo.
 likitaka iwe ya kukuza uchumi na kuweka
 mazingira mazuri ya uwekezaji.
Kauli ya CTI huku likilalamikia kupanda
 kwa gharama za uzalishaji.
 zilizotokana na mgawo wa umeme wa Tanesco.

Mkurugenzi Mtendaji wa CTI, Christine Kilindu
 alisema jana kwamba serikali inapaswa kutoa bajeti
ambayo
 pia itaondoa kodi zinazoumiza uzalishaji mkubwa.
Alisema kodi kubwa zisizo za msingi zinachangia
 kupanda kwa gharama za uzalishaji ambao mwishowe
 husababisha kupanda kwa gharama
 za maisha kwa mwananchi wa kawaida.

bajeti jengeni kama hizi wananchi wasisumbuke.



wacha kuwasubuwa serekali yako
 inapanga bajeti ya kukuongezeya
 wewe mshahara na posho badala
 ya kujenga kama hizi wananchi wakawa
na usalama na uhakika wa usafiri wa
 waachiye waendele na safari yao wacha kuwaghasi.
   

"Tunataka bajeti ambayo itaondoa kodi zinazokwamisha
 uzalishaji mkubwa na ukuaji uchumi, tunataka
bajeti itakayopunguza makali ya
maisha kwa mwananchi
 kwa kumwezesha kupata bidhaa
kwa urahisi," alisema Kilindu.

WAMBIYE WENZAKO KILINDU KUWA WANANCHI WANATAKA NCHI
YAO IWE NA SUPER MARKET KAMA HIZI NA BEI RAHISI ILI KILA
MWANANCHI AWEZE KUNUNUWA NA KULA VIZURI KAMA MUNAVYO
KULA NYINYI NA WAKE ZENU NA WATOTO WENU KWENYE MAJUMBA
MULIYOJENGA KWA KODI ZA JASHO LA WANANCHI SASA WANANCHI
PIA WANATAKA KULA NA KULALA PAZURI AU NA NYINYI MUTAKUWA
KAMA MUBAROUK,BEN ALI,SALEH,GADDAFI KARIBU KABISA MAANA
TUSHACHOKA KUMIZWA NA MAISHA NA NYINYI MUNAVIMBA TU KAMA
MAKOBE AU VYURA WENYE MIMBA YA MIEZI TISA.

Alisema bajeti hiyo inapaswa pia kuweka mazingira
mazuri na yanavyovutia kibiashara ili kuifanya Tanzania
 kuwa kituo muhimu cha uwekezaji.
Alisema kwamba anategemea kuona umeme
 ukiwekewa mazingira ya kukuza uchumi na uwekezaji nchini,
akisema bila kufanya hivyo hakuna kitu kitakachofanyika.

"Bila umeme hakuna kitu chochote, serikali
inapaswa kuongeza nguvu na msukumo
 kuona umeme siyo tu unamulika maisha ya watu
kwa kutoa mwanga, bali iwe ni nguvu ya kusukuma
ukuaji wa uchumi wa nchi."

Mawaziri wapigia debe bajeti

Katika kujiwekea mazingira mazuri na
kuzuia kubanwa na wabunge, baadhi ya mawaziri
wamepigia debe bajeti za wizara zao huku Mkulo,
 akiahidi kuwa malimbikizo ya vyombo vya usalama
 yatalipwa mwezi huu.

Mara kwa mara baadhi ya wabunge
 wamekuwa wakitishia kukwamisha baadhi ya bajeti
 za wizara, kutokana na kukosa majibu ya msingi
 kwa mambo mbalimbali ya msingi.
Jana asubuhi baadhi ya mawaziri walipokuwa
 wakijibu maswali bungeni walisisitiza kuwa mambo
mengi waliyokuwa wakiulizwa yamezingatiwa katika bajeti.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani,
 Balozi Hamis Kagasheki, akijibu swali kuhusu
 malipo ya malimbikizo ya posho za polisi ikiwamo
 za wakati wa uhamisho, alisema wizara yake
 imeandaa mwongozo wa kisera wa namna ya kulipatia
 ufumbuzi tatizo hilo.Alisema katika mwongozo
 huo ambao tayari ulikubaliwa na Wizara ya Fedha na Uchumi,
 wizara yake imejipangia utaratibu wa kutatua kero hiyo
 kuanzia kwenye bajeti ya mwaka huu.

Balozi Kagasheki alikuwa akijibu
 swali la Mbunge wa Mji Mkongwe (CUF),
Mohammed Sanya,
ambaye alitaka kujua mkakati huo ukoje
kutokana na tatizo hilo kuwa ni la muda mrefu.
 Baada ya majibu hayo, Waziri Mkulo
alisimama na kukuongeza
 kuwa siyo malimbikizo ya polisi pekee,
bali ya vyombo vyote vya usalama na kwamba
 serikali imejipanga kuhakikisha yanalipwa
kabla ya mwezi huu kumalizika.
posho za polisi kwa nini
wasijengewe nyumba watu kama hawa..?


Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk Harrison
 Mwakyembe naye alipigia debe bajeti
 ya wizara yake ambayo tayari ilisifiwa
 na Kamati ya Bunge ya Miundombinu,
 kutokana na kugusa kila eneo huku
 ikitajwa kuandaliwa kwa weledi wa hali ya juu.

Akijibu maswali likiwamo lililohusu ujenzi
 wa Barabara ya Babati, Dareda
 hadi Minjingu na kuhusu kero za barabara
 katika Jimbo la Ludewa linaloongozwa
 na Profesa Raphael Mwalyosi,
Naibu Waziri huyo alisisitiza kuwa
wizara yake ni sikivu na mambo
mengi yatazingatiwa ndani ya bajeti.

bajeti upelekwe sehemu kama hizi wacheni wizi wenu bungeni

Alisema wizara iko makini na Bajeti ya
 Ujenzi imezingatia mambo mengi ya
 msingi huku akitupa kete ya kuomba
 uungwaji mkono kwa wabunge ili waipitishe.
huyu ndiye raisi ona anawapa piremende
waoze mano badala
ya kuichukuwa hiyo bajeti na
 kuwajengeya nyumba
 za kuishi na maji umeme
na chaku
elimu hospitali nakathalika yeye
 gari kubwa na peremende.
IKULU MAJI BAFUNI YANAMWAGIKA TU SHIDA ZA MAJI UTAZIJUWAJE..?


hospitali watu mpaka chini wanalala kweli watapona au watazidi maradhi..?

hii ni nyumba ya mtu na ona raisi wao wa tanganyika gari alilopakiwa pale juu

wananchi wamechoshwa na udikteta wenu
wanaona bora bendera ya E.U. kuliko bendera
ya nchi yetu maana wanajuwa ni bendera ya
viongozi tu waliyo madarakani na watakao
 stafu lakini mwananchi hana lake nateseke
 mpaka afe viongozi wanakula raha tu

kwa nini musiwajenge wananchi nyumba kama hizi..?
familiya mbili zinaishi hapa
na wao wakaishi vizuri kama munavyo ishi nyinyi.
viongozi matapel, majizi, walaghai,
wauwaji, wanyanyasaji, waroho musiojuwa kukinai,
wafujaji mali za umma,majangili musio
na huruma na rai wenu,
waongo na wanafiki wakubwa viongozi wote
wa tanganyika na zanzibar yake pia nyote nyote
 kuanzia raisi mpaka sheha,jeshi mpaka mgambo.

MTAJI WA MASIKINI NI....?

HAWA NDIO WATU WANAO HITAJI BAJETI IWAFIKIYE ILA TUTAONA KAMA ITAWAFIKIYA MAANA MAWAZIRI HAWAKUSEMA TUWAJENGE MASIKINI AU TUHAKIKISHE MAJI NA UMEME WALILO SEMA NI KUWEKA BARA BARA MAANA WAO NDIO WENYE MAGARI MAZURI HAWATAKI YAHARIBIKE NA KUWALIPA POLISI MAANA NDIO WANAO WALINDA NA MALI ZAO UKIRITIBWA MTUPU.


No comments:

Post a Comment