Wednesday, June 15, 2011

DR HUSSEIN MWINYI AKANUSHAA KUWA SIO KWELI VIJANA WA ZANZIBAR KUKATALIWA KUJIUNGA NA JESHI.










HIVI KWELI KTK VIJANA WOTE WALIYO ZNZ HAKUNA WA KUWA JESHI.?

VIJANA WAMEJA ZNZ HAWANA KAZI ILA KUONGELEYA KAMA SAMAKI
WOTE HAWA WALIKUWA WAWE MAJESHI WA KUIHAMI ZNZ LAKINI WANABAGULIWA MAANA ZNZ IKIFANYA HIVYO TANGANYIKA WANAJESHI WAO ITABIDI WARUDI MAKWAO NA HAWATAKI WAMEISHIKA NCHI TOKA 1964 MPAKA LEO TUMEMEZWA

HAWA WOTE NDIO WAKUWA JESHI LA ZNZ ILA WANABAGULIWA ILI WATANGANYIKA WALETWE ZNZ NA KUTUTAWALA ANASEMA NINI HUYU HUSSEIN  MWINYI

WENGINE WANAZURURA TUU WENGINE NDIO WAMEANZISHA BIASHARA
YA KUUZA MISHKAKI NA UROJO WATAFANYA NINI NA WANATAFUTA RIZIKI ILA KAMA ZNZ ITAMUWA KUWA NA JESHI LAKE SITHANI HAWA WOTE WATAKATA MAANA WANAIHAMI NCHI YAO NA WAO PIA WATAJIPATIA KAZI MALUUM.

By The Citizen Reporter
Dodoma.The minister for Defence and National Service, Dr Hussein Mwinyi, has refuted reports that Zanzibaris are subjected to rigorous health screening when applying to join the army.He made the statement in parliament yesterday when answering a question from Mr Mussa Khamisi Silima (House of Representatives – CCM).
The latter said that, as opposed to their Mainland counterparts, Zanzibaris who seek to join the army face additional health screening.Dr Mwinyi assured the House that all people seeking to join the training were subjected to the same and similar conditions. No one underwent extra drilling before being considered for recruitment in the army, he said.
However, he said health screening for those who want to join the army was a bit tough and only fit people were selected for training.Therefore, he said, those who fail to meet the set criteria should not think that the standards have been set to sideline them.
In the main question, the MP wanted to know why Zanzibaris were subjected to double health screening when seeking to join the army while those from the mainland were screened only once.
The MP said subjecting Zanzibaris to double health screening was not fair at all.
However, Dr Mwinyi noted that the army has to be careful when recruiting people for training, given the heavy exercises which the trainees have to undergo.He said there were many people who had passed the screening but after starting actual training failed to cope with the drills and thus were dismissed.
HAWANA LA KUFANYA WANAISHIA UNGA NA BANGI
HAWA NDIO WALIOKUWA WAWE JESHI LA ZNZ WAMEKATALIWA TUMELETEWA WABARA VIJANA WETU WANAMALIZIKA KWA UNGA NA BANGI
KWELI WANGILI KUWA WAMEWEKWA JESHINI NA KUPEWA MAFUNZO MAZURI WENGELIFANYA MAMBO HAYA..? MUNAWACHA KUWAJIRI WATOTO WENU ZNZ MUNAKWENDA KUAJIRI WABARA WAWE MAJISHI KISHA SIKU ZA UCHANGUZI WANAUWA WATU NA KUHARIBU DADA ZETU.
WATU WA BARA HAWAWEZI KUTUHAMI SISI MAANA WAO WENYEWE HAWAKUWEZA KUJIHAMI VITA VYA UGANDA MPAKA WAKAJA ZNZ KUCHUKUWA JESHI LA NYUKI WAKAENDA KUWAULISHA VIJANA WA ZNZ KTK VITA VISIVYO WAHUSU KABISA NA HATUJA SAHAU BADO MAANA MPAKA LEO WANAJESHI WALIOULIWA UGANDA WAZEE WAO HAWAJALIPWA NA WENGINE WAHAI SASA WABARA NI KUTUTAWALA SISI BAADA YA KUONA JESHI LETU LISHAULIWA UGANDA LAKINI WANAJUWA NDANI YA MOYO WAO KUWA HAWAWEZI KUPIGANA VITA VYOVYOTE HAWA JAMA NI WAOGA ILE MBAYA HATA KUNGURU WA ZNZ SIO MUOGA KAMA WAO ILA SASA WANAJIFANYA WABABE NA NGUVU MAANA WAO NDIO WENYE SILAHA ILA SISI TUKIAMUWA BASI WOTE WATAKIMBIA KWA VIDAU HASWA ILA SISI HATUTAKI KUMWAGA DAMU TUNATAKA NCHI YETU NA WAO WEWE NA YAO TUENDELE KUWA TU MARAFIKI BASI LAKINI KILA MOJA NA MAMBO YAKE TUWE NA JESHI LETU VIJANA WETU WA ZNZ HASWAA SIO WATU WABARA HAPANA.

No comments:

Post a Comment