Saturday, June 25, 2011

JIONE PICHA ZA MCHEZO WA NGOMBE PEMBA


hii ndio pemba na unguja una tanganyika ilivyo kubwa lakini bado tu
wanataka kutunyanganya hivi visiwa vili vidongo alivyotupa m/mungu mijama inatama

hapa ndio pemba

hapa ndio pemba

moja wa wavuvi hapa pemba

hizi ndio shoki shoki

mashelisheli,muhogo na ndizi

Pemba North lighthouse

kobe wa ndani ya bahari pemba hiyo na majabu yake ndani ya bahari

barabara ya mchanga pemba angaliya kijani ilivyo shamiri

ona maji na miti yalivyo ingilyana powa kabisa mambo ya pemba sio jamaica fanya mchezo na pemba yetu

tomato za pemba

juu ya tabu tulizo nazo bado tuna smile tuuuuuu hapa pemba

wanawake wetu bado wana haya na ndio kujiheshimu pemba sio kutovukwa na adabu na kutembeya uchii ati ndio maendeleyo mawe


mafenesi hayooooooooooooo

mambo ya pemba haya

moja ktk visiwa vilivyo izunguka kisiwa cha pemba

moja ktk fukwe za pemba na hotel za kitali

mambo haya ndani ya kisiwa chetu cha pemba raha kabisa


huu ndio mchezo wa ngombe marufu hapa pemba watu wanathani
ni spain peke yao wanaojuwa mchezo huu kumbe hapa pemba ndio kwao


mchezo wa ngombe ni marifu sana hapa pemba nyumbani

cheki vitu hivyo vya mchezo wa ngombe hapa pemba sio mchezo

huu ni mchezo wa bakora safi sana ukiona unavyo chezwa hapa nyumbani pemba

watoto wakiangaliya mchezo huo wa ngombe

wasichana wadogo kisiwana pemba ona smile ktk nyuso zao raha kabisa


huyu ndiye doto akisonga haluwa kwa maharuki mtendeni unguja znz

mama na kuni zake mwenyewe hapa pemba

hapa ndio pemba jamaa na mkaa wake hana noma

ndio usafiri na ndio msaidizi

hapa ndio gas station ya wete pemba samahanini picha ni dogo
Kengeja Taxi

gari la ngombe hapa pemba


mambo yanyumbani haya yashinda haluwa ahahahaha


wakina mama wakiomba duwa na kulia hapa pemba

hii ndio pemba

moja wa wazee wetu hapa pemba barazani kwake na nazi yake

hii ndio mahakama ya serekali hapa pemba ya SMZ aibu gani hii daaaaah

hili ndio gari hatuna noma ndani ya pemba

kima mwekundu ndio waliyokuwepo hapa pemba na unguja

                                                   


chake2
chake chake hospital

hii ndio chaguwa chaguwa hapa pemba

moja ktk vitu vilivyo katika bahari hapa pemba

mtoto wa kizungu akijaribu kukuna nazi hapa pemba

huu ndio mfano mzuri wanakuja na wanaiga mila zetu sio sisi kuiga zao ni ujinga na upotofu ona walivyo

ona heshima na ustarabu na walivyo pendeza
fasheni ya watoto wadongo

sisi tunakukimbia wazungu wanahamiya

chake chake pembahizi ndio bendera za vyama vinavyotaka madaraka ili wajinemeshe matumbo yao

moja wa watali akizamiya chini ya bahari na kuangalia samaki hapa pemba

hii ni moja ya mali inayochukuwa karafu pemba na kuleta unguja hapa iko unguja

No comments:

Post a Comment