Thursday, June 9, 2011

HOSPITALI YA MNAZI MOJA Z;BAR HAINA MADAWA WALA VITANDA VYA KULALA WAGONJWA WAKATI NCHI NYENGINE NDANI YA JELA KUNA KILA KITU VIPI MAMBO HAYA SMZ..?


hii ni moja ktk jela na watu wanaendeleya na masomo
zanzibar skuli skuli na hakuna masomo watoto wanafeli ovyo.

humu ndio ndani jela yale kama madirisha ndio vyumba vya wafungwa

wakijaribu kuwaelimisha ili wawache mambo mabaya wanayo yafanya wakiwa nje

humu ni ndani ya jela na kuna hospitali na madokta na manasi na vitanda

moja wa wafungwa akisubiri daktari aje kumuhudumiya na askari magereza akimuangalia asije kufanya jambo baya ona kwenye miguu pingu na hii ni hospitali imo ndani ya jela

chumba cha manasi ndani ya jela

chumba cha madawa ya kila aina ambacho kimo ndani ya jela leo z;bar hospital
ya mnazi moja hata sio jela na hakuna dawa na bajeti pia haipitishwi ya kununulia
madawa wazenji amkeni tunaburuzwa vibaya na viongozi hawa wote ni majambazi tu

ona hapa vyumba viwili madokta wawili kila mfungwa na dokta wake nenda mnazi
moja hospitali znz utambiwa dokta hayuko au amekwenda kunywa chai au hajaja leo.

nasi akizungumza na mfungwa

ona manasi wanavyo washugulikiya wafungwa na nimajambazi wengine wameuwa
lakini haki yao wanapewa sisi znz wagonjwa wanaumwa hakuna wakuwashughulikia
viongozi wakiumwa wanapelekwa ulaya,india,china kama kawaida rai tunakufa.

mfungwa mgonjwa ndani ya jela ni odi ya hospitali hii imo ndani ya jela hospitali
ya mnazi moja odi ina wagonjwa mia mpaka wana lala chini

moja ktk manasi humo ndani ya jela



skuli humo humo jela kuna skuli pia



jela za africa ona tafauti na nchi nyengine wanao jali ubinadamu








moja ktk jela

moja ktk jela

HAWA NI WAHALIFU WA MAMBO MENGI MABAYA MABAYA LAKINI BADO WANAPEWA HAKI YA UBINADAMU NA KUJARIBU KUWASIHI WAACHE HAYO MAMABO YAO MABAYA WALIYOYAFANYA NA ONA JELA ZILIVYOKUWA KUBWA NA MASKULI NA MADAKTARI NA MANASI NA MADAWA LEO Z;BAR HOSPITALI HAKUNA MADAWA MARA DAKTARI HAYUKO KAENDA KUNYWA CHAI MARA SIJUWI NASI KAENDA KUPELEKA KITAMBA CHAKE KWA MSHONI AMSHONE ILI KUNAHARUSI JIONI MAMBO NGANI HAYA SEREKALI IMECHOKA ILE MBAYA MPAKA(( ICU))MPYA HAIJANUNULIWA NA NI MWAKA SASA TOKA IHARIBIKE SMZ HAMUWEZI KUONGOZA NCHI MAANA NYINYI WENYEWE HAMUWEZE KUJIONGOZA MUTAWEZA KUONGOZA NCHI..? NA SISI RAI PIA MAJUWA KILA MWAKA KIONGOZI HUYO HUYO HATA KAMA HANA MANUFA TUMO TUNAMPINGIA KURA KISA ATI TUNAMPENDA MPAKA LINI MAPENZI HAYO KUTOKA KWAKO KWENDA KWAKE ILA KUTOKA KWAKE KUJA KWAKO HAKUNA NIKUKANDAMIZINA TU MPAKA LINI MAMBO HAYAA..?

No comments:

Post a Comment