Friday, June 24, 2011

MZEE KARUME,JOHN OKELLO,NYERERE,NI YUPI NDIYE BABA WA TAIFA LA ZANZIBAR...?


mzee karume na nyerere
john okello na kundi lake lililopinduwa serekali ya z;bar 1964
KARUME NI BABA WA TAIFA LA ZANZIBAR.?? au NYERERE.?? au JOHN OKELLO...???????
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema rais wa kwanza wa visiwa vya Zanzibar hayati Abeid Amani Karume anatambuliwa kama ndiye baba wa taifa la Zanzibar kutokana na mchango wake mkubwa wa kuleta ukombozi wa visiwa hivi.
Hayo yalisemwa na waziri wa nchi ofisi ya makamo wa pili wa rais Mohammed Aboud Mohammed wakati akijibu swali aliloulizwa na mwakilishi wa jimbo la Chake Chake (CUF) Omar Ali Shehe aliyetaka kujuwa mwasisi wa taifa la zanzibar hayati Karume kama anatambuliwa kama ni nani.
Aboud alisema historia ya siasa ya visiwa vya zanzibar inamtambuwa hayati Karume kama baba wa taifa wa zanzibar kutokana na mchango wake mkubwa wa harakati za ukombozi wa taifa hili hadi kufikia mapinduzi ya zanzibar ya mwaka 1964.
Aidha alisema ofisi zote za serikali ya mapinduzi ya zanzibar zinatakiwa kuweka picha za kiongozi huyo,na ni kosa kwa ofisi ya serikali ambayo haitakuwa na picha yake.
Alisema eneo la Kisiwandui ofisi kuu ya CCM kwa sasa ni eneo la kihistoria kwa sababu ndiyo pahala ambapo kiongozi huyo aliuwawa kikatili na wapinga maendeleo tarehe 7-4-1972.
Alisema kutokana na serikali kutambuwa mchango wake mkubwa, tarehe 7-4-1972 ni siku ya kumbukumbu ya kitaifa ya kifo chake,ambapo hufanyika shunguli mbali mbali ikiwemo kisomo cha ibada ya hitma.
Alisema wananchi wanaruhusiwa kutembelea eneo hilo hapo kisiwandui kwa ajili ya kuona kaburi lake na baadhi ya maeneo ya kihistoria ambapo maelezo hutolewa na maofisa wahusika katika ofisi hiyo.
Serikali ya jamhuri ya muungano inamtambuwa hayati mwalimu Julius Nyerere kama baba wa taifa na rais wa kwanza wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ambapo makamo wake alikuwa hayati Abeid Amani Karume


WACHENI KUDANGANYA WATU KUWA KARUME NI MKOMBOZI WA ZNZ SIO MKOMBOZI. YEYE ALITAKA ZNZ IWE NA AMANI NDIO AKASHIRIKI KTK MSETO WA 1961. NA ALIWAHI KUWA WAZIRI WA AFYA WALA YEYE HAKUPINDUWA ZNZ IMEPINDULIWA NA JOHN OKELLO. KWA KUWAUWA WAZANZIBAR NA KUTAKA KUITAWALA ZNZ KIMABAVU. KARUMA ALIKIMBIA HASWA KULIPOKUWA NA MAPINDUZI NA USHAHIDI HUU HAPA WA VIDEO. YEYE HAKUWEPO KWENYE MAPINDUZI WALA HAKUJUWA KAMA KUNAMAPINDUZI YEYE WALA HAKUSHAURIWA KAMA KUNA MAPINDUZI. HAKUJUWA LOLOTE KUHUSU MAPINDUZI WACHENI KUDANGANYA WATU MUNACHEKWA MUKISEMA HIVYO. ALIPEWA TU NCHI AONGOZE PIA SIO RAISI WA ZNZ MAANA HAKUCHANGULIWA.KIKURA UKICHANGULIWA KIKURA NA UKASHINDA NDIO RAISI ILA YEYE ALIWEKWA TU KAMA BOYAA. NA NYERERE MAANA ALIKUWA NA MAMBO YAKE THAIDI YA ZNZ NA WATU WAKE.NA WALIO MUUWA KARUME SIO WAPINGA MAENDELEYO BALI NI WATU WALIYOTAKA MAENDELEYO MAANA NCHI ILIKUWA KTK HALI MBAYA NA MZEE KARUME ALIJISAHAU. AKAWA KAMA ANATAKA KUWA DIKTETA KUTAWALA BILA YA KUWA NA CHAMA CHOCHOTE NCHINI NA HAKUNA RAISI MPYA NI YEYE TU MPAKA AFE. NDIO WALIYOKUWA NA HASIRA NA KUTAKA NCHI IWE NA SURA NA DEMOKRASIA WAKAMUWA KUMPINDUWA KUMBE KUNA WANAFIKI KTK WALIYOKUBALI KUMPINDUWA. NDIO HUMUDI AKAMUWA KAMA HATUTAPATA ZNZ KUWA DIMOKRATIKI BASI MIMI NALIPA KISASI CHA KULIWA BABA YANGU NA MZEE KARUME. NDIO TUKIO LIKATOKEYA NA NYERERE NDIYE ALIYEYAPANGA YOTE MAANA ALIJUWA IKO SIKU MZEE KARUME HATA TAKA TENA MUUNGANO. SASA DAWA NI KUMALIZA PICHA KUTO KUWEKWA OFISINI NI SAWA TU AU MTU AKIWEKA NI SAWA TU SIO KUWA KAMA MTU HAKUWEKA PICHA YA MZEE KARUME BASI NI MBAYA. MZEE KARUME SIO MTUME WALA SAHABA MUSITULETE HAPA MAMBO YA KIDIKTETA NA UPUMBAVU TUNATAKA MAENDELEYO NCHI INANUKA.
USHAHIDI KUWA MZEE KARUME SIYE ALIYEPINDUWA
SEREKALI YA KWANZA YA ZANZIBAR HUU HAPA
NA HAYA NDIO YALIYO FANYWA 1964 NA WATANGANYIKA THAIDI YA WAZANZIBAR WENYE VIKAPTURA NDIO WATANGANYIKA ONA SASA MALORI YALIVYOJAZA MAITI ZA WATU WAZANZIBAR NA MSURURU WA WATU MASHAMBA KUCHUKULIWA NA KULIWA NA KUTIWA KWENYE KABURI MOJA PIA KUNA WALIYOJARIBU KUKIMBIA NA VIBOTI VYAO AU NGARAWA WENGINA HAWAKUWAHI WAKAULIWA FUKWANI MWAA BAHARI UTAONA NA VIKAPTURA WAKIONA HELKOPTA YA KITALIYANA WANAKIMBIA NA KIJIFICHA NI MTALIYANA MUANDISHI WA HABARI ALIYERIKODI VIDEO HII JE SMZ HAYA NDIO YAKUJISIFIA..?  KULIWA BILA KISA KUNYANGANYWA MALI ZAO NA KUNAJISIWA WAKE ZAO NA WATOTO WAO WA KIKE KUOLEWA KWA LAZIMA NA WATANGANYIKA.JE SMZ HAYA NDIO MAMBO YA KUJISIFIA KUWA NYINYI MUMEPINDUWA..? AU MZEE KARUME NDIO ALIYEPINDUWA NA KUWAMBIYA WATANGANYIKA WANAJISINA WANAWAKE WA ZANZIBAR NA WAOWENI WATOTO WAO WAKIKE KWA LAZIMA NA WANYANGANYENI MALI ZAO NA MASHAMBA YAO NA NYUMBA ZAO NDIO MZEE KARUME ALIVYOSEMA HIVYO IKIWA NYINYI MUNASEMA NDIO MKOMBOZI WA WAZANZIBAR...? KISHA MNASEMA ASOMEWE HITMA MAWE HATA MUSOMA NINI THULMA NI THULMA TU
BARAZA LA WAWAKILISHI NA WABUNGE WA ZNZ MULIYOKUWEPO DODOMA NA KILA KIONGOZI NA WAKE ZENU NA WATOTO WENU HAPA ZNZ ENDELENI NA THULMA NA KULA MALI ZA HARAMU ILA MUJUWE MWISHO WENU NI HAPA IBENI THULUMUNI UWENI WATU WANYANGANYENI WATU VIWANJA VYAO NA NYUMBA ZAO NA MALI ZAO KULENI JASHO LA HARAMU KWA WENYE MIKARAFU ILA MUJUWE MWISHO WENU NI HAPA NDIO PENYE HAKI WENGI WENU MUNAJUWE JAMAA WAKARIBU MUSHAWAFUKIA NA WEWE UKO NJIANI WAKATI WOWOTE BASI WEWE ENDELEYE TU NA THULMA ZAKO.


No comments:

Post a Comment