Tuesday, June 7, 2011

RIPOTI YA HAKI ZA BINADAMU NCHINI ZANZIBAR JE POLISI NA MAJESHI KUTOKA BARA WALIYOKUWEKO Z;BAR WAKIVUNJA SHERIA MUTAWAHUKUMU..?

huyu ndiye jaji mkuu wa mahakama ya zanzibar,Abdulhakim Ameir Issa Akizindua
Ripoti ya haki za binadamu nchini. mwaka 2010 iliyoandaliwa na kituo cha haki za binadamu cha serekali ya tanganyika huko bara. jana kwenye ukumbi wa chuo kikuu cha taifa cha serekali ya zanzibar kushoto ni mwenye kiti wa kituo cha huduma za sheria zanzibar,prif cris maina pete na ofisa kutoka ktuo hicho,harusi miraji mpatani.
Mwenyekiti wa Kituo cha huduma za Sheria Zanzibar, Prof.Chris Maina Peter (kushoto) na Jaji wa Mahakama kuu Zanzibar, Abdulhakim Ameir Issa wakionyesha ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2010
sawa kabisa kuwa na haki za binadamu sasa natuone kama zitatekelezwa au ndio fashion watu wana haki za binadamu na sisi tuwe nazo ikifika wakati wakutekeleza majukumu viongozi wanasuwasuwa kama kishada kinavyo peperuka angani.tuone kama polisi na majeshi wabara waliyo jazwa unguja na pemba wakiwapinga watu kama walivyo zowea watapelekwa mahakamani na kuhukumiwa na kupelekwa kilimani jela pale kinuwa miguu.au ndio wataingizwa botini wapelekwe ktk mkoa mwengine kisha watu wakisha sahau wanarudishwa tena.maana haya yashatokeya sio mara moja wala mara mbili.tuone dada zetu waliyo fanyiwa mchezo mchafu na majeshi na polisi wakati wa uchanguzi watashatakiwa au ndio imetoka hiyo tugange yajayo..?watu waliyo vunjiwa nyumba zao na serekali na hawakulipwa je watalipwa haki zao..?jaji kasema makonteni darajani yafunguliwe manspa ya zanzibar hawataki yafunguliwe na wandishi wa habari wakienda kupiga picha wanawashika na kuwanyanganya kamera zao je watachukuliwa hatuwa kali hawa manspa au ndio nyinyi kwa nyinyi.wanafunzi wanaotiwa mimba na walimu je walimu watashatakiwa au ndio itakuwa kataka mwenyewe..?najuwa watu watasema nina wazimu ila mbona hicho kitabu cha haki za binadamu kina ramani ya serekali ya tanganyika na tunambiwa ni kwa serekali ya tanganyika na serekali ya zanzibar je mbona map ya zanzibar haipo hapo au ndio munatupenyezeya mswaada kiana...?

1 comment:

  1. Hio itakuwa ni ndoto sana,Wala tusitarajie kuwa jesi la muungano linapofanya maamuzi ya kuwanyanyasa wananchi serikali ya smz itawahukumu.

    Kwa kweli nauma sana wakati mwengine hutamani nichukue jibomu nivae kuwenyewe mikusanyiko wa viongzi wetu nijitoe muhanga.

    ReplyDelete