Friday, June 10, 2011

UKITAKA PASPOTI Z;BAR UKAPIME UKIMWI KWANZA JE PASPOTI NI HAKI KWA KILA MWANANCHI AU NI VIONGOZI,MATAJARI PEKE YAO NDIO WENYE HAKI YA KUWA NAYO..?


hii ni paspoti ya paka ona hapa

unaona na paspoti yake


huyu ni paka na paspoti yake

hichi ni kitambulisho cha mbwa

ona na huyu ni mbwa na ana paspoti

mbwa na paspoti yake

mbwa na tikiti yake

    

hii ni paspoti ya umoja wa nchi za ulaya

ona nchi za wenzetu wanavyo thamini kila kitu sisi hapa znz viongozi hawatuthamini
mpaka siku za uchanguzi ndio wanajuwa kama sisi ni watu pia na tunathamani


hii ni hospitali ya wanyama sisi znz hata yabinadamu shida kisha wabunge kibao na mawaziri kibao makati sijuwi balaa moja kwa moja.

hii hospitali nyengine pia yawanyama ona wanyama wana hospitali ngapi na sisi znz toka mkoloni mnazi moja na mnazi moja na sisi mpaka leo viongozi kuvimba matumbo tu.

humu ndio ndani ya hospitali ya wanyama ona usafi nenda mnazi moja
uko maisara ushaanza kusikia harufi ya vidonda na matapisha hata hospitali
hujafika bado aibu aibu viongozi wa znz kama hamuwezi mujiuzulu watu wengine wachukuwe kazi sio munaganganiya madaraka na hamuna moja munalolifanya

ona daktari anavyo mshughulikiya mbwa sio hospitali zetu
ukingia tu manasi washakutukana na dokta anakufukuza haswaa.

ona dokta alivyo makini na kumchunguza mbwa sio madaktari wetu ushapewa matusi mia

hawa ni madokta wa viungo wakimfanyisha mazowezi

hapa yuko odini ashamaliza kufanyiwa oparesheni sisi odini hata vitanda hatuna wangonjwa wanalala chini wazenji amkeni musiwape viongozi kura zenu tu




jione mwenyewe kisha jiulize je kwa nini
huna paspoti wewe hapa zanzibar na nimzaliwa..?




ona alivyo kuwa ni mdogo na ana paspoti yake zanzibar ikitaka paspoti wanakuambia
nenda ukapime ukimwi kwanza mambo haya vipi....?




mpaka mtoto anajuwa umuhimu wake ona macho

je huyu kapimwa ukimwi ndio kapewa paspoti..?

wazenji tusikubali tena hawa viongozi wetu kutudanganya.washatudanganya sana nusu karne sasa uwongo mtupu. mara nchi masikini mara maharamiya mara sijuwi mvua hakuna. mimi naona hakuna lolote ni uwongozi mbaya waliyo nao na marushwa wanayo kula kila mahali ukitaka kitambulisho. ambacho ni haki yako maana wewe ni rai hupewi mpaka uhonge.

 ukitaka paspoti hopewi mpaka uhonge. ukishindana nao mara unambiwa kapime ukimwi au njoo na ticketi yako ya denge. upumbavu mtupu huyu mtoto au hawa watoto na mbwa na paka wanatikiti za denge...? hawana ni haki yao kuwa na vitambulisho na sisi znz pia tunahaki ya kuwa na vitambulisho na paspoti na vyeti vya kuzaliwa. na hospitali zenye madawa na madokta na manasi wenye huruma. na odi ziwe na vitanda na kila kitu sio kuburuzwa buruzwa tu tusikubali tena hawa viongozi wote haya wanayajuwa.

 maana wanasafiri kila leo kwenda nchi za nje na wanaona ila hawataki kuyaweka znz maana wanajuwa yanaharimu pesa nyingi na pia watu wengi itabidi uwajiri katika kila sehemu na hayo ndio wasiyoyataka maana wanajuwa wakiajiri watu wengi pesa zote zitakwenda kwa wajiriwa na wao hawatapata mamillioni ya kufanyia sherehe za barthday za watoto wao na sherehe za dada zao wakiolewa na wake zao wakiwafurahisha.

 ndio maana hawana tafauti yoyote viongozi wa znz na viongozi wa tunisia,libya,yemen,misri na kathalika wote wana njia moja tuwakabe wananchi na sisi na wake zetu na watoto wetu tunakula raha sasa wakati umefika wazanzibar kama hatujamka sasa hatutamka tena.

No comments:

Post a Comment