Thursday, July 21, 2011

2011 NA MPAKA LEO SEHEME ZA VIJIJINI PEMBA HAKUNA SKULI KWANI PEMBA INAUKUBWA NGANI..?


hii ni moja ktk skuli za nchi za wenzetu sisi mpaka leo 2011 sehemu za pemba vijijini hakuna skuli na pemba hii inaukubwa ngani kuwa hakuna skuli mpaka leo hii 2011..?

 minister of education and vocational training Ms Zahra Ali Hamad confirmed on Wednesday that despite recognizable achievement in the construction of schools, some villages still are without schools, prompting students to walk long distance. Citing Ngomeni village in Pemba as an example of village with no school, where students walk for eight kilometres in search of education, the deputy minister said efforts to solve the problem had started by constructing a nursery school. “We have successfully worked with the community in various areas to establish schools, but admit that few villages such as Ngomeni villages where students have to walk to Ngwachani, Mkoani district, South Pemba for school,” she said. She said that the ministry was ready to work with people in Ngomeni to construct a school, as the government promises to improve road and health centre in the villages. Meanwhile Ultra sound room at Makunduchi cottage hospital in South Unguja is without automatic Air Conditioner (AC) machine, the deputy minister of health Dr Sira Ubwa Mamboya confirmed on Wednesday promising to solve the problem. Responding to a question from Mr Jaku Hashim Ayoub (CCM- Muyuni) who wanted to know when AC would be fixed at the Ultra Sound room to improve working condition for the medical staffs.

hizi ndio skuli za nchi za wenzetu wanajenga ili watoto wao wasome pahali pazuri na kupumzika sio hapa kwetu watu wanaiba tu pesa kisha wanakuja kujenga mabanda ya mbuzi ati skuli maweeeee.

Oneni skuli hii sio super market ni skuli unaona sio sisi ukisikia kwajengwa skuli ukienda kuna mabanda ya mbuzi ati skuli mawe 2011 sasa bado tu munataka kufanya watu kama miaka ya 1888 munachekwa

No comments:

Post a Comment