Friday, July 15, 2011

ATIII LEO NI SIKU YA KUANGALIWA BIKIRA ZAO KAMA WANAZO AU WASHAMPA KIJANA AWATOWE

Kuchekiwa Bikira
mimi kwa upande wangu naona kama ni kumkashifu msichana na kumuaibisha mbele za watu ndio mila zao na tamaduni zao ila ikiwa tunafikiri haswa kiudani basi mila au desturi kama hizi hazina haja.ila yakusikitisha ni kuwa sasa ni 2011 lakini afrika nchi na vijijini bado tuna mambo ambayo kwakweli sio haki hata kufanya.

No comments:

Post a Comment