Monday, July 18, 2011

HILI NI ONYO KWA WANAMASKANI WOTE WA CCM MUSHEKE ADABU NA ADABU ZIWASHEKE HII NI SAUTI YA FREE-ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI WAZENJI WOTE TUNATOWA HILI ONYO

HILI NI ONYO KWA CCM/MASKANI ZA KIHUNI NA MAKADA NA MAJAMBAZI WALIO KUJA KUTOKA BARA KUFITINISHA ILI WAPATE NGAWIRA MARAHII HAKUNA NGAWIRA ONYO TONATOWA KABISA NAMUSHIKE ADABU ZENU KUWASIMANGA VIONGOZI WA ZANZIBAR LAA SIVYO TUTAUVUNJA MUUNGANO NA HAKUNA LOLOTE

WAZANZIBARI WAMEONA UJINGA WENU WAKUTAKA KUENDELEA KUIKANDAMIZA ZANZIBAR . Tunawaonya wale wote wanaojaribu kumuharrasi Mh. Masoor Yussuf Himid kwa Msimamo wake wa kuitetea Zanzibar ndani ya Muungano haramu tunawambia MUSITUCHEZEE.

Pindipo kiongozi wetu yoyote wa Kizanzibari anaetetea haki ya Wazanzibari na haki ya Nchi yake ya (Zanzibar) atadhuriwa au kuharasiwa na Magenge ya Wahuni wa CCM. Basi Tutapambana nae kwa umoja wetu.Mh. Mansoor hakufanya kosa kusema yale ambayo Wabunge wengine kule Tanganyika wanayasema . Sertikali TATU Ndio zilizoanzisha MU-UNGANO wa TANGANYIKA na ZANZIBAR. Na Mh Mansoor anahaki yakusema. Nyinyi Usalama na Magenge yenu ya Kijambazi tunawaaambia atakae chafua hali ya Amani ya Zanzibar basi tutamfanyia kazi, Zanzibar mutaichukia kama shubiri na mutakuja kujijutia mukichokoza moto wa “KUMBI” Muungano wa Serikali MBILi ni BUTU kwani ni TANGANYIKA kuendelea Kuibana na kuidhalilisha Zanzibar kiuchumi, kijamii, kimaadili, kiutamaduni na kimaendeleo.
Ndugu Wazanzibari wa nje na Ndani nilazima tushikane kwa hili na SISI turushe Vikaratasi vyakuwaonya WAHUNI HAWA WA CCM wengi wao Wakiwa ni MAJAMBAZI na MALAYAA.Kama hatukufanya hivi wataendelea kuwanyanyasa Viongozi wetu waliokua na Msimamo wakuitetea Nchi yetu. Na wale waliokua wanataka kumsupport Mh. Mansoor wataogopa. Wakati umefika wakutawanya Vikaratasi vyenye Ujumbe ….UZANZIBARI KWANZA NA ILANI ZA CCM ni KUENDELEA KURUHUSU ZANZIBAR KUTAWALIWA NA MKOLONI MWEUSI”JEE nyinyi wenzangu munaonaje mawazo hayo? Naomba muchangie fikra zenu na tufikie kwenye Solution as Soon as Possible.

TIME IMEFIKA YAKUWALINDA VIONGOZI WETU KAMA HAWA WENYE KUTETE HAKI YA WAZANZIBAR TUSIKUBALI KABISA WAWANGUSHE NA KUWATHARAU KAMA KINYESI.

No comments:

Post a Comment