Tuesday, July 5, 2011

MAKAMO WA RAISI ZANZIBAR SEIF NA MAKAMO WA RAISI TANGANYIKA BILAL USO KWA USO KTK VIWANJA VYA SABASABA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati walipokutana kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere katika Maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa leo Julai 04, 2011

No comments:

Post a Comment