Thursday, July 14, 2011

MAONYESHO YA KIKAZI NA UTAMADUNI WA KIOMAN KUONYESHWA LEO NCHINI ZANZIBAR.

Tamasha na utamaduni wa Oman linatarajiwa kuanza leo nchi zanzibar ktk ukumbi wa ngome kongwe hapa nchini zanzibar kunatarajiwa kuonyeshwa maonyesho mbali mbali kama vili kazi na utamaduni wa nchi ya Oman pia watu watakao fika ktk onyesho hilo watapatiwa haluwa na kofia kwa wanaume na kwa wanawake watapakwa hina na kuchorwa michoro ya kioman.hii ni moja ktk mashirikiano na upendo wa nchi hizi mbili zenye kuchanganya damu kwa miaka mingi sana baina ya Oman na Zanzibar m/mungu ibariki zanzibar na oman pia.
watoto wa skuli tofauti wakisubiri maonyesho yatakayofanywa na nchi ya Oman hapa nchini zanzibar leo

No comments:

Post a Comment