Monday, July 11, 2011

NANI ALIMUWA MZEE KARUME..?NANI ALIYE WAUWA WAZENJI 1964..?

hili ni kaburi la mzee karume
nataka kuzungumza kidogo tu kuhusu mambo ambayo hivi sasa yanajitokeza na kila kukicha watu wanataka kujuwa ukweli ila ukweli huo unaendeleya kufukiwa ili usijulikana.watu wengi nimewasikiya wakisema kuwa mzee karume aliuliwa na wazanzibar wasio penda maendeleyo je hii ni kweli..?nimesikia hata misemo ktk TV zilizokuweko tanganyika zikisema leo nisiku ya kumkumbuka mzee karume raisi wa kwanza znz aliyeuliwa na wapinga maendeleyo je ukisema raisi wa kwanza znz jeulize alichanguliwa na nani kuwa raisi wa kwanza znz.? kama huna jibu mimi nakupa raisi niyule anayechanguliwa na watu wa nchi kwa kura ndio anakuwa raisi.mzee karume hakuchanguliwa na watu aliwekwa tu na nyerere.kabla ya mzee karume kushika madaraka znz ilikuwa na vyama vingi tayari kulikuwa na ZNP,ZPPP NA ASP sasa ilikuwaje baada ya karume kushika madaraka asikubali chama cha upinzani je hiyo ndio dimokrasia au udikteta..?nitagusa kidogo kuhusu hawa watu wanaosema atafute aliye muuwa mzee karume sawa je na aliye wauwa wazanzibar 1964 wakati mzee karume kajificha dar es salaama pia tutawatafuta ili tuwajuwe ni nani waliyo kuja kuwauwa wazanzibar 1964..?mzee karume kataka maendeleyo sawa kafanya mambo mengi sana ila tujiulize nikwanini alikata vyama vya upinzani znz na yeye mwenyewe alikuwa na chama cha upinzani na hakuna aliye mzuwia..?
kuhusu muungano je mzee karume aliuliza baraza la wawakilishi kuhusu kungana na tang..?jibu ni no hakuwauliza alikwenda yeye na nyerere wakaungana na alipokuja znz kuwambiya watu walichukizwa na mambo haya ndio maana hata katika sherehe ya kuchanganya mchanga nyerere aliyo ifanya mzee karume hakutaka maana alijuwa kuwa ameteleza na akarudia msemo wake wa kuwa muungano ni mpaka chumbe je chumbe iko wapi na zenji iko wapi..?pia akasema kama muungano ni koti likikubana unalivua hapa ndio nyerere alipojuwa kuwa hakuna njia nyengine ya kumuweza karume isipokuwa........ sasa mukitaka kujuwa nani kamuwa mzee karume ni rahisi nikijiuliza nani aliye wauwa wazanzibar 1964 na kuwathulumu mali zao nyumba zao mashamba yao na kuwanajisi wanawake wa kizanzibar na kuwachukuwa wasichana wa kizanzibar huku wakisema kuanzia leo wewe ni mke wangu umesikia wapi mambo haya hapa zanzibar yametokeya yote hayo na ni nani aliyoyafanya haya ni nyinyi watanganyika kisha mukawasigizia wazanzibar ndio waliofanya mapinduza wazanzibar hawakuwa na haja ya mapinduzi kwani nchi hii ilikuwa huru toka 1963 ila choyo na uhasidi muliyo nao watanganyika ndio uliyo watuma mukaja kutuuwa hapa zanzibar ila mara hii naona kama na nyinyi moto utawawakiye kama hamutataka amani ostabey,msasani,benzi zanzibar ipewe uhuru wake na tukae kama majirani wema hamutaki sawa sisi tuko tayari marahi kwa lolote.

je nani aliye wauwa hawa wazanzibar 1964.........?

No comments:

Post a Comment