Thursday, July 14, 2011

SOUTH SUDAN ILIKUWA SIO NCHI SASA INA PESA ZAKE Z;BAR IMEKUWA MKOA WA PWANI AMBAYO ILIKUWA NI NCHI.


South Sudan yatowa pesa yake wenyewibar e, Zanzibar wasema tulinde na tudumishe Muungano wa Tanganyika na Zanzanzibar wakati Tanganyika imeingia kizani.

Samuel Sitta kuna msemo wa Kiengereza unasema samani ya kuwa huru nibora kuliko Pande la thahabu au Almasi( To be freedom is better then gold or daimon).Kwa hio kama mutaendelea kututawala na kukataa mfumo wa Serekali tatu basi mimi nahisi Katiba itakuwa haina maana nikuja kujingiza ktk kitanzi cha kunyongwa Zanzibar wenyewe.Chaumuhimu kwa sasa ilikuwa Tanganyika ifanye mchakato wa kurudisha Tanganyika yake na katiba yake kulikoni kwenda mbele na kuacha umuhimu wa nyuma.
Mimi huwashangaa Viongozi wa SMZ kusema tusubiri Katiba na mamuzi ya Bunge 2014 kuelekea uchaguzi mkuu?.Lakini kwa upande wa Zanzibar jee itatusaidia nini katiba ya Muungano wa Tanzania wakati Tanganyika haipo kuna  Tanzania?.Hii nikupigwa changa la macho Wazanzibar na kuburuzwa kwa kuto tumia akili hakuna asie juwa kuwa Tanzania ndio Tanganyika kwa kila kitu na mambo yote yako wazi kujuwa , kuanzia katiba,Nembo ya nchi ya Taifa,Bendera, hata mambo ya njee hujiwakilisha tu kwa jina la Tanzania kuomba misada lakini ikifika nchini hutumika kwa mahitajio ya Tanganyika.Mimi nasema Wabunge,Wawakilishi na Wzanzibar wote kwa ujumla nilazima tuwakamate Koni Watanganyika kunda mfumo wa Serekali tatu kama mwanzo yani Tanganyika,Zanzibar na yashirikicho yani ya Muungano? wakikataa hivyo basi hakuna maana kujadili katiba, maana mundo wa katiba hii ni waserekali moja yani Repblic of Tanzania/Tanganyika.Jee Wzanzibar(SMZ) munakubali tuwe na mfumo huu wa serekali 1, yani Serekali ya Watu wa Tanzania kumbe ni Wtanganyika wanatufoolish na huku yao yanawaendea halafu wasema hawataki Tanganyika kurudi? wanajuwa kuwa Tanganyika ndio hii Tanzania ya sasa.Sasa irudi Tanganyika vipi wakati ndio hii? na misada yote na mambo yasio yote hutumika kwa mwevuli wa Tanzania.

ERITREA NA ETHIOPIA PIA ILIKUWA NCHI MOJA NA WAMETANGANA HAO HAPO ONA HAKUNA HATA BAHARI KTK LAKINI WAMETANGANA NA KUWA NA MIPAKA NA WANAISHI SASA VIONGOZI Z;BAR MUNAOGOPA NINI....?

KUMBUKA ILIKUWA NCHI MOJA HII NA SASA WAMETANGANA ITAKUWA SISI ZNZ NA TANGANYIKA KTK KUNA BAHARI TUSHINDWE KUTENGANA KWA NINI ISHINDIKANE.?

HILI NDIO JESHI LA SOUTH SUDAN NCHI MPYA NA JESHI NI WENYEWE SIO SISI Z;BAR JESHI NA POLISI NI HAO WATANGANYIKA MPAKA LINI...?

PESA ZAO NA JESHI LAO WENYEWE SIO WALETEWE PESA NA NCHI NYENGINA NA JESHI NI WATU WA NCHI NYENGINA HAKUNA HIO NI HAPA KWETU SISI TU ZANZIBAR.NI AIBU HATA KUSEMA LAKINI BORA TUSEME KULIKO KUNYAMAZA IKAMALIZWA ZANZIBAR MAANA IKIMALIZWA WATOTO WETU WATAISHIA KUTAWALIWA AU UKIMBIZINI NCHI ZA WATU KAMA VILE HATUNA KWETU NATUNAKO INASIKITISHA NA KUMIZA ROHO ILE MBAYA KUWA ZNZ INAPOTEA.


No comments:

Post a Comment