Monday, July 25, 2011

WAZ;BAR NA VIONGOZI WETU TUWE MAKINI AU TUSIPO ANGALIA HATUTA PATA SEREKALI 3 WALA HATUTAVUNJA MUUNGANO TUTAISHIA KUTAWALIWA NA MKOLONI MWEUSI


VIONGOZI WETU WA Z;BAR TUSIKILIZENI WANANCHI ILI SITTA,TISA,NAPE,NEPII
WASIJE WAKAWA WAO NDIO WAPYA WA KUCHANGANYA MCHANGA MUTATUMALIZA
KOSA SIO KOSA ILA KURUDIA KOSA NDIO KOSA TUSIKILIZENI WANANCHI VIONGOZI WETU WA Z;BAR
Mimi nasema inaonekana mpaka sasa hivi bado Wzanzibar hatujawa na msimamo moja wakusema kitugani tunataka, hivi sasa kuna tafauti kubwa ya viongozi wa Zanzibar wa SMZ na RAIA wa kawaida Wzanzibar.
Viongozi wa SMZ wao wanapendelea kuwe na Muundo wa Serekali TATU na Wzanzibar walio wengi wanataka Muungano UVUNJIKE kabisa usiwepo.Sasa mpaka sasa bado Wzanzibar tumetafautiana na viongozi wetu, kuna hatari au kuhatarshai ya kutoku-stick kwa one voice ikawa serekali 3 zisije na wala Muungano usivunjike tukabaki na mfumo huu huu wa Serekali 2 lakini uhakika na ukweli wa mambo ni mmoja ya Repblic of Tanganyika kwa koti la tanzania.Mimi nahisi huenda tukagonganishwa vichwa kwa vile tuna misimamo miwili tafauti Wzanzibar na viongozi wetu wa SMZ,kwa ushauri wangu SMZ,GNU,SUK ni bora ikafanya mkutano moja mkubwa na kuzungumza na wananchi. na kusikiliza maoni yao na ikiwa wananchi wanasema muungano uvunjwe basi viongozi wa SMZ,GNU,SUK ni bora mufanye hivyo musije mukayarudiya yale ya MZEE KARUME akajiamulia mambo kisha yeye akafa na wazanzibar mpaka leo tuko chini ya ulinzi na MKOLONI MWEUSI yumo kutumaliza. wao wenzetu wa Tanganyika wote msimamo wao ni mmoja tu, ni kubaki Serekali hii hii ya Tanganyika ijitayo Tanzania na mfumo huu wa Serekali mmoja ya Repblic of Tanganyika.Sasa kama hatuku stick kwa sauti moja Wzanzibar basi tujuwe viongozi wetu wa CCM wataitwa GININGI(DODOMA) na wakirudi huko tayari watakuwa ma-Zombi na kuunga mkono Serekali mbili kuelekea mmoja ambayo uhakika wa kini macho cha watanganyika ni hii tulio nayo ya Republic of Tanganyika.

No comments:

Post a Comment