Monday, July 25, 2011

WAZENJI TUSIKUBALI KUJADILI KATIBA MPAKA TUJADILI MUUNGANO FEKI

kwaza zanzibar lazima tujiweke tayari. na tujue nini tunafanya
hatuwezi kuanzisha mambo ya katiba na kuliwacha suala la muungano. tukianza katiba huko mbele tutakuwa tumelikwamisha suala la muungano na kulitia kufuli na ufunguo kuikabizi serikali ya katiba.
lazima tushauriane kama viongozi wetu wa kidini walivyosema kwanza muungano alafu katiba. viongozi wa kisiasa watatuweka pabaya kwani wakati mwingi huwa hawasemi ukweli kwa maslahi yao.
lakini viongozi wetu wa kidini sasa wamezinduka kwa kulala muda mrefu na sasa kusema kweli.
huku wakiristo wakiwa ndio wasemaji wakuu katika serikali hizi mbili waislam hawana lolote mbali na huku kwetu kuwa kuna kadhi. bali sio kadhi ila ni kazi ya smz, kwa faida yake na kuubomoa uislam znz. hatari kubwa miaka ya mbele znz kuwa nchi ya kikiristo. na hili kama hatujashikamana litakuwa kama ilivyokuwa znz B yani mwambao wa bahari ulio sehem ya znz na kunyang`anywa na wakiristo kuwa sehem ya nchi ya wakiristo.
tunachotaka kwanza ni suala la muungano tukishakamilisha muungano alafu ndio katiba
1. serikali 3
2.nchi mbili mataifa mawili kila mmoja na mbendera yake.
3. bendera ya muungano
alafu ndio kila nchi itakuwa na katiba yake na baadaye kuwa na katiba ya muungano
huu sio muungano ila ujanja tu na kumalizwa znz. na wana siasa wote wanalijua hili lakini huwa wanaimba kama tarabu na wengine smz, ccm huwa wanazungumza wazi juu ya tz kuwa eti wao ni nchi moja chama kimoja tena hawa ni waznz na wengine waznzbara eti ndugu zetu.
wazanzibari tuamkeni. niajabu pia wazanzibar rais kuchaguliwa na watanganyika lakini waznz wenyewe hawawezi kuchagua rais. na wale smz na ccm znz walivyo wapumbavu. haiyoni haisiki haina tofauti na mikiristo kama chama chao kilivyo cha wakiristo.

hii ni nembo ya udikteta na haina tafauti na ya sasa ambayo inaitwa ya muungano
hii nembo hatuitaki kabisa ktk kisiwa chetu cha zanzibar ni nembo ya UDIKTETA iliyo tunyanganya UHURU wetu na kutufanya kuwa chini ya MKOLONI MWEUSI anayetu tukandamiza na kututawala kwa mabavu.


No comments:

Post a Comment