Monday, July 11, 2011

Z;BAR KWA NINI ISIJITENGE NA SOUTH SUDAN IMEJITANGA.....?

HII NI SUDAN NA NI NCHI MOJA HAKUNA KIPINGAMIZI KATI YAO
NA WAFITINISHAJI WAMEFITINISHA MPAKA WAMETANGANA ONA.
HII NI TANG NA ZANZIBAR NA NI NCHI MBILI TAFAUTI TOKA ENZI NA ENZI
NA SASA WASHASEMA KUWA ZNZ SIO NCHI BALI NI SEHEMU YA TANGA JE
NI KWANINI HAWATAKI ZNZ IJITAWALE YENYEWE..?

TULIWEZA KUWASIKIA VIONGOZI WA TANGANYIKA WAKISEMA KUWA ZANZIBAR NI SEHEM YAO. MANENO HAYO YALITOLEWA HADHARANI HATA KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA VIONGOZI WA CCM, BAADHI YA VIONGOZI HAO NILIOWASIKIA MIE BINAFSI NI SHIBUDA, NA MIZENGWE PINDA, NA HATA WENGINE WALIWAHI KUSEMA HIVYO NASIKIA. NA KAMA SIYE WAZNZ TUNA SEMA ZNZ NI NCHI KAMILI SASA HAYO MANENO NI AJE WAZALENDO.
ISITOSHE TUCHUKUE MFANO WA SUDANI NA SUALA LA UTAJIRI WA MAFUTA.
JE! ZNZ NA VIBARAKA WAKE WATAIFIKISHA WAPI ZNZ NA SUALA LA MAFUTA?
NI KUIMALIZA ZNZ NA KUIPELEKA KATIKA TANGANYIKA.
Abyei ni yetu, asema rais Omar Bashir
Wakaazi wa Abyei
Rais wa Sudan Omar Al-Bashir ameelezea machungu yake baada ya taifa lake kugawanyika na kuwa nchi mbili. Hata hivyo amesema ilikuwa wazo njema katika kuafikisha amani.
Kiongozi huyo aidha ameonya kuzuka machafuko mapya dhidi ya eneo linalozozaniwa la Abyei.
Akizungumza na BBC siku moja baada ya uhuru wa Sudan Kusini ulioafikiwa kwa miongo ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, Rais Bashir amesema ndoto yake imekuwa kudumisha taifa moja la Sudan.
Kiongozi huyo ameongeza ilikuwa muhimu matakwa ya raia wa Kusini kuheshimiwa ili kuepusha kurejelewa kwa mapigano.
Hata hivyo Bashir ametoa onyo kali kwa Sudan Kusini.
Amesema kuna hatari ya kuzuka mapigano upya ikiwa maafikiano dhidi ya maeneo yanayozozaniwa hususan Abyei hayataheshimiwa.
Amesisitiza Abyei ni himaya ya utawala wa Khartoum na itakuwa jimbo la Kusini pale raia wafugaji wataridhia kuwa chini ya Juba kupitia kura ijayo ya maoni, matukio ambayo huenda yasinafinikiwe.

HII NDIO SIKU YA MUUNGANO WA TANG NA Z;BAR TUNAUGANA KWA MCHANGA HAYA KAMA KWELI HUU MUUNGANO MZEE KARUME ALIUKUBALI MBONA MZEE KARUME MWENYEWE HAKUWEPO SIKU HII WALIPO UNGANA NA KUCHANGANYA MCHANGA PICHA MZEE KARUME IKO WAPI HAPA......?MUUNGANO FEKI WAKUIMEZA Z;BAR NA KUIYUWA ZA;BAR NA KUKATILI UTAIFA WAKE ISIJULIKANE ULIMWENGUNI NDIO MUUNGANO HUU KAZI YAKE TUTAUVUNJA MUKITA MUSITAKE TUTAUVUNJA .

No comments:

Post a Comment