Friday, August 26, 2011

SAFISHA SAFISHA NAJISI ZILIZO JAZWA Z;BAR YAENDELEYA NCHINI Z;BAR
Bar ya Gymkhana, maarufu kwa Kimti ilivyochomwa moto na watu wasiojulikana jana. Lakini uongozi wa Bar hiyo umo katika juhudi za kujenga baa mpya ili kuendelea kuuza mkojo huu wa shetani ndani ya kisiwa.

haya ndio mabaki ya baa hii iliyo chomwa moto ktk mwezi huu wa ramadhani
ni moja ya safisha safisha ya najisi zilizo eneya ktk visiwa vyetu vya unguja na pemba
Bar Maarufu ‘Gymkhana’ mtaani maisara na kikwajuni. leo magharibi imechomwa moto na watu wasiyojulikana. lakini inasemekana watu wanne wakiwa na mapanga na mabomu ya petrol,walivamia bar hiyo wakati wa futari. wavamia na kuanza kutupa moto, na kusababisha walevi kibao waliokuwa wanalewa na kula NDANI YA BAA HIYOO KTK MWEZI HUU MTUKUFU WA RAMADHANI kwenda mbio. Baa yote imeunguwa moto. hii tukio la nne ndani ya mwezi mmoja, na serikali wiki iliyopita ilionya watu wasijiachiye kwa kula na kunywa pombe hadharani


No comments:

Post a Comment