Tuesday, August 2, 2011

BALOZI IDD NI MOJA WA WATUMWA WA TANG NA NYOKA MWENYE SUMU KWA Z;BAR

Mimi hushangazwa na two face za badhi ya viongozi wetu wa CCM/SMZ, Haswa huyu Balozi Seif Idd, Yeye inaonyesha ni kati ya wale watu walio fanya vile vipeperushi Mh Mansor kwa Uzalendo wake.
Seif Idd eti anasema sera za CCM ni Serekali 2 natukae tukijuwa mbili sasa ila tunaelekezwa kwenye serekali moja kiaina bila sisi kuelewa ndio mpango wao hawa na wanataka lazima CUF wafuate sera hizo kwa vile chama kilichoshinda ndio chenye kufuatwa sera zake ila yeye huyu kasahau kuwa sasa hakuna tena mambo ya chama kipi au vipi sasa kuna wazanzibar wanataka nchi yao irudi kama zamani na kuwa na mamlaka yake,
Sasa chakujiuliza Wzanzibar na kitandawili kilichopo..? jee tukitowa Serekali yetu ya Zanzibar ..? Jee hio ya Pili ni Serekali gani..? ya Tanganyika au ya Muungano ijitayo Tanzania?.Hawa akina Seif Idd wasitulite ukirikitimbwa wa kuangalia asili yao, ikiwa anataka Serekali mbili basi arudi zake bara huko Tanganyika akawashauri waungane na south sudan na nchi nyengine ila sio zanzibar.Sijawahi kumsikia hata siku mmoja,Baraka Uboma kusimama na kusema yupo pale kwa Benefit ya Kenya na watu wa Kenya? kama ni asili basi ni ya Baba yake. lakini husema mimi nipo kwa kuwatumikia Wamarekani na Serekali yangu ya Marekani.Mara zote damu za Ki-Tanganyika hazipotei, huu ndio mfumo wa Juliasi Bada wa kuua watu wa zenji 1964 Zanzibar na kuSema mapinduzi na sasa ndio tuna hawa wanawe kina balozi idd wameletwa kutumaliza hawa.Kilichofanywa na Juliasi 1964 nikuyahamisha madaraka ya uhuru halali wa 1963 kutoka kwa Wzanzibar na kuwapa wasio Wzanzibar HARAMU YA UMAPINDUZI ambao mpaka hii leo ndani ya Baraza la Uwakilishi Kuna Virusi vya UKIMWI NA KANSAA(Verus) Mabaki ya Tanganyika akina Seif Idd,Ntoni Rihani Kingo,Mwakanjuki na wengine wako wengi tu wameva ngozi za kondoo na wao ni fisi.
Ndio nikasema tunayo kazi kweli kwenye Baraza letu la Uwakilishi kuwa na damu hizi,Hata Mh Hamza Muwakilishi wa Kwamtipura alishawahi kusema kuwa tunao Wa-Bunge wa Tanganyika ndani ya Baraza la Uwakilishi Zanzibar ndio hizi damu zao.Ukiona kila la heri Zanzibar linalokuja linafukiwa na kupingwa ili lisisimame wao wako hapa kuihusudu tu zanzibar, basi ujuwe ni sawa na kumchukuwa Mzayuni ukamuambiya wewe utakuwa mbunge ndani ya Bunge la Palestin je yatakuwaje mambo humo bungeni...?Mimi nasema kama hili ZIMWI Idd linataka Serekali 2 kwanza angehoji hio ya Tanganyika ipo wapi? na akipata jawabu basi nitosha kuwa asirukie gari lenye kwenda kwa kasi.Ikiwa Serekali ya Tanganyika iko ktk Tumbo la Tanzania. basi nibora izaliwe upya tujuwe kuwa Tanganyika imezaliwa ktk Tumbo la Tanzania na kubatiza kwa kuitwa Tanzania.Maana haingii akilini kumbiwa kuwa tuwe na Serekali 2 lakini Tanganyika haipo wala haitajwi tena.Wenzetu wa Tanganyika damu zao kali. maana hutumia jina la Tanzania kwa kujinufaisha wao wakati Tanzania ndio Tanganyika.Wewe angalia misada mingi ya Tanganyika inayompewa nje kwa jina la Tanzania na ifikapo nchini hutumika upande mmoja tu, mfano misada ya real huambiwa hii ni kwajili ya Bara tu Zanzibar hawana real wala realways na ile pale bandarini mpaka bububu sio real ile hata kama imefukiwa ndio tupeni hiyo misaada tuifufuwe ila hawataki maana sio niya yao hawa.Misada ya ziwa Viktoria huombwa kwa Tanzania hutumika kwa Tanganyika huambiwa ziwa hili liko Tanganyika vipi misada hii iwahusu nyiyi  zanzibar na wakati huo huo petrol na gasi ya zanzibar inawatowa marenda ya mdomo wanasema ni yamuungano.
Mimi nahisi kutoshirikishwa Wzanzibar kikamilifu ktk mambo makubwa ya hatma ya Motherland yao, basi hawa wababaishaji wenye asili zao na cousen wao Tanganyika basi watatupeleka ovyo lengo lao wanataka Wzanzibar wote labda  wawe Wamanyema na Wahehe na wazaramo au vipi...?

No comments:

Post a Comment