Saturday, September 17, 2011

MAITI WAIBIWA THAHABU ZAO NA PESA ZAO BAADA YA KUFA KTK MELI YA MV SPICE ISLANDERS NCHINI ZANZIBAR
Mali nyingi za marehemu waliokufa katika ajali ya MV Spice Islanders hazijuulikani zilipo yakiwemo mapambo ya dhahabu kama pete, cheni na herini na pesa tangu kutokea ajali hiyo Septemba 10, mwaka huu.
Uchunguzi wa FREE-ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI umebaini idadi kubwa ya watu waliopewa maiti zao kwenda kuzika wamekutwa vitu hivyo vimeondolewa na wengine kubakia na alama vidoleni za kuonyesha kuvuliwa pete za dhahabu na alama mashikioni kuonyesha wamevuliwa hirini zao.
Imeelezwa kwamba baadhi ya maiti zilizokuwa zikifikishwa katika kituo cha Maisara baadhi ya waokozi walikuwa wakizivua maiti hizo mapambo wakidai zinahifadhiwa, lakini hadi sasa vitu hivyo au fedha hazifahamiki zilipohifadhiwa.“Mie nilivyouliza nilijibiwa maiti huwezi kuiacha na mapambo ya dhahabu wakaniambia wanawavua kisha wanakabidhi Polisi, lakini sijasikia zimehifadhiwa wapi,”wala kituo kipi cha polisi alisema mmoja wa waokozi.Imeleezwa baadhi ya watu walionekana wakifanyakazi ya kufungua vidani na kuvua pete maiti, zilipokuwa zikifikishwa kwa utambuzi katika kituo cha Maisara kwa madai maiti hairuhusiwi kukaa na mapambo lakini hadi jana hakuna taarifa ya kukusanywa vitu hivyo na kukabidhiwa katika vyombo husika na washasema vilikuwa vikivuliwa na watu wanao subiri maiti kutambulika hapo maisara sasa baada ya maiti kutambulika mbona family zao hazikupewa vitu walivyo vuliwa marehemu.?moja nae akasema“Mie ndugu yangu alikuwa nakwenda kujenga Pemba nyumba alikuwa na kiwango kikubwa cha pesa alichoniambia pesa kazifunga kwenye mkwiji wa kanga bahati nzuri maiti yake tumeipata mkwiji haupo,” alisema Time Baraka, mkazi wa Tomondo.Alisema hadi sasa hawajapokea taarifa yoyote kuhusu mali zilizookolewa kufuatia ajali hiyo ambapo vikosi mbalimbali vilishiriki kuokoa abiria pamoja na wananchi hasa wa Nungwi ambao walifanya kazi hiyo muda mfupi baada ya kuripotiwa kuzama.Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Mussa Ali Mussa, alisema hadi juzi hajapokea taarifa yoyote ya kupatikana mapambo ya dhahabu au fedha na kuhifadhiwa kabla ya kupewa wahusika.Hata hivyo, alisema katika kituo cha Nungwi anazo taarifa za kupatikana nguo ambazo zimehifadhiwa pamoja na mafriji mawili na magodoro ambavyo viliokotwa na wavuvi katika mwambao wa bahari ya Mkoani na tayari vimekabidhiwa Polisi.jamaa dungu zetu wanakufa kisha tunawaibiya haramu namnagani hii.

Friday, September 16, 2011

CUF YATOWA TAKWIMU MPYA YA WATU WALIYO KUFA KTK KUZAMA KWA MELI NUNGWI

WATU WALIO KUFA PEKE YAKE  GANDO 418
WATU WALIO KUFA PEKE YAKE KOJANI 108
WATU WALIO KUFA PEKE YAKE MICHEWENI 88
WATU WALIO KUFA PEKE YAKE MGOGONI 184
WATU WALIO KUFA PEKE YAKE WETE 149
WATU WALIO KUFA PEKE YAKE MTAMBWE 214
WATU WALIO KUFA PEKE YAKE KONDE 96
WATU WALIO KUFA PEKE YAKE MTAMBILE 100

WAKATI habari zikisema Waziri wa Miundombinu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Hamad Masoud Hamad, amesema yuko tayari kujiuzulu wadhifa wake kutokana na ajali ya meli ya Spice Islander iliyozama hivi karibuni katika eneo la Nungwi na kuua mamia ya watu, Chama cha Wananchi (CUF), kimesema watu waliokufa katika ajali hiyo, ni zaidi ya 1696.Waziri Masoud, ambaye ni mwanachama wa CUF, alitoa kauli hiyo jana katika mahojiano maalumu na BBC jana, akasema kuwa uamuzi wa kuwajibika ni jambo jema kwake, ila anangoja ripoti ya tume inayochunguza kiini cha ajali hiyo. Lakini chama chake kimemtaka ajiuzulu kabla ya tume kufanya kazi yake.Hamad alisema kwa sasa anasimamia jukumu la kuopoa miili ya watu waliokwama kwenye meli hiyo. Wazamiaji kutoka Afrika Kusini wapo Zanzibar tangu juzi, lakini wameshindwa kufanya kazi ya kuopoa miili hiyo kutokana na kuvurugika kwa hali ya hewa katika eneo la Nungwi mahali ilipozama meli ya Mv. Spice Islander.“Kuwajibika ni jambo jema, na nitafanya hivyo kama kuna uzembe ulitokea katika wizara yangu pamoja na vyombo vilivyo chini yangu lakini katika hili hebu tuvute subira kidogo kwani hivi sasa tunafanya juhudi za kuhakikisha mabaharia wa uokoaji kutoka nchini Afrika ya Kusini wafanye kazi, nami nikiwajibika katikati ya janga hili nitakuwa sijatenda haki,” alisema Hamad.
Mmoja wa viongozi waandamizi wa CUF aliliambia gazeti hili: “Kama atajiuzulu atakuwa ametusaidia sana.” Juzi Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Mtatiro Julius, kumtaka ajiuzulu nafasi hiyo, hata kama hakuhusika katika janga hilo.Mtatiro alisema pamoja na CUF kuwa katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa muda wa mwaka mmoja sasa lakini ni jambo la hatari kwa wizara inayoongozwa na waziri anayetoka Chama hicho kufanya uzembe huo kwa kushindwa kusimamia majukumu yake ipasavyo.
“Japokuwa Chama chetu cha CUF tupo katika serikali ya umoja wa Kitaifa Zanzibar lakini hili ni jambo la hatari kwa Wizara inayoongozwa na waziri wetu kufanya madudu haya hata kama alikuta utamaduni wa ‘ku-overload’ umezoeleka alipaswa kulisimamia hili na kuliondoa kwa haraka” alisema na kuongeza kuwa ni vema aachie ngazi hata kama hakuhusika na janga hilo zito kwa Taifa.Naibu Katibu Mkuu huyo wa CUF ameshauri serikali impumzishe Waziri Hamad badala ya kungoja ashurutishwe na nguvu ya wananchi.Alisema uzito wa janga hilo unaondoa suala la ushabiki wa vyama, badala yake ni kujali na kuthamini maisha ya watu Wakati suala la kujiuzulu kwa waziri huyo likiwa bado bichi, CUF kimetoa takwimu mpya zinazoonesha kuwa watu waliokufa katika ajali ya Mv. Spice Islander iliyotokea Septemba 12, mwaka huu ni 1696, si 203 kama ilivyotangazwa na serikali.Wabunge wa CUF wenyeji wa Pemba wamesema wamehakiki na kuthibitisha idadi hiyo kwa siku tatu mfululizo.Mbunge wa Jimbo la Ziwani Ahmed Juma Ngwali amesema Jimbo la Gando ndilo linaloongoza kwa kupoteza watu 418 katika ajali hiyo.“Bado tuna kazi nzito na kila nyumba tunayoingia ni msiba. Jimbo langu peke yake ni zaidi ya watu 182 hadi sasa hawajaonekana. Watu wameshakata tama ya kuwaona ndugu zao.”CUF imesema Jimbo la Kojani watu waliopoteza maisha ni 108, Micheweni watu 88, huku Jimbo la Ole anatoka Waziri wa Uchukuzi wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar Hamad Maoud Hamadi, likiwa limepoteza watu 157.Jimbo la Mgogoni limepoteza watu 184, Wete 149, huku Jimbo la Mtambwe analotoka Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seifu Sharif Hamad, likidaiwa kupoteza watu 214. Nalo Jimbo la Konde watu 96 wanadaiwa kufa, Mtambile ni 100.Kutokana na takwimu hizo zinazofanywa na wabunge hao nyumba kwa nyumba watu 1696, wanaodaiwa kuwamo katika meli hiyo hadi sasa hawajaonekana na wanahofiwa kupoteza maisha.Takwimu hizi mpya za CUF zimezidi kutia shaka juu ya idadi kamili ya abiria waliokuwa katika meli hiyo. Awali, serikali ilisema idadi ya watu 816 ndio waliokuwa ndani ya meli siku ya ajali. Hata hivyo, baadhi ya watu wawakiwemo wanaodaiwa kuwa ndugu wa marehemu wanadai kuwa watu 3,000 walikuwa ndani ya meli hiyo siku ya ajali.Wakati huo huo, watu saba wamenusurika kufa baada ya boti yao ya mizigo kuzama. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Yahya Bugi, amesema boti hiyo iliyokuwa ikitoka mkoani Tanga kwenda Pemba ilizama alfajiri ya jana, ambapo boti ya polisi ilifanikiwa kuwaokoa watu hao.

DR SHEIN UKILETA UPUMBAVU NA WEWE PIA UTAJIUZULU WACHENI KUFICHA FICHA MAMBO SISI TUSHA POTEZA DUNGU ZETU JAMAA ZETU RAFIKI ZETU TUPENI UKWELI JAPO UNAUMA AU TUTAISHENIKIZA SEREKALI NZIMA YA GNU MUSITULETE UPUMBAVU
Msiba
HIZI NI BATHI TU YA MAITI ZILIZO OKOLEWA NA WAVUVI WA SAMAKI BADO ZILIZO JAA NDANI YA MELI AMBAZO ZIKO CHINI YA BAHARI NA KM KM IMESHINDWA KWENDA KUZITOWA MAITI CHINI HUKO KWENYE MELI ILIYO ZAMA BAHARINI MPAKA WASOUTHA AFRICA WAMEKUJA KUZITOWA MAITI HUKO CHINI PIA HAPA ILIKUWA KUWE NA MANURSE NA COAST GUARD LIKINI UNA PICHA HAPA MAJESHI WAKITANGANYIKA WATUPU MOJA YA UTHIBITISHO KUWA TUMETAWALIWA TUKITAKA TUSITAKE SISI TUKO CHINI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA MELI IMEZAMA MAJIRA YA SABA USIKU MPAKA ASUBUHI NDIO ATI SEREKALI NA MAJESHIWAKE WANAO TUTAWALA KWA MABAVU NDIO WALIPOWASILI USIKU KUCHA NI WASWALIHINA NA WAVUVI NDIO WALIO FANYA KAZI YA UWOKOWAJI JE SISI TUNA SEREKALI AU YAGUJUUUUUU....??????????

WATU WAKIWAOMBEYA DUWA DUNGU ZETU WALIOKUFA KWA AJALI YA MELI NCHINI ZANZIBAR


Baadhi ya Waislamu wa Zanzibar katika sala ya kuwaombea ndugu na jamaa zao waliokufa kutokana na ajali ya meli ya Mv Spice Islander. Sala ilifanyika leo Jumatatu katika viwanja vya Maisara, mjini Unguja

Miongoni mwa makaburi 46 yaliyochimbwa  kwa ajili ya kuwazika baadhi ya watu waliokufa kwenye ajali ya meli ya Mv Spice na makaburi mengi mengi sana yaliyo chimbwa sehemu tafauti ila serekali inataka kuficha na
kufanya mambo yasahaulike haraka iwezakanavyo kama waliokufa sio watu

Monday, September 12, 2011

VIONGOZI Z;BAR MUSIJIDAI KUJISIKITISHA HUO NI UNAFIKI FANYENI JAMBO LA KWELI TUONE

Huu ni wakati mgumu sana kwa Wazanzibar kutokana msiba mkubwa ambao utachukua karne kusahaulika katika Visiwa vyetu vya Unguja na Pemba. Sote Wazanzibar ni waumini wa dini ya kiislam ambayo kiitikadi tunaamini kwamba, tukipatwa na msiba miongoni mwetu kubwa  kwetu ni kushukuru kwa mola na kusema INNALLILLAH WAINA ILLAH RAJIUN.
Sisi kama Waislam hatuna budi kushikamana na kamba ya m/mungu licha ya kwamba ni vigumu  lakini hatuna budi kufanya subira kwani wenzetu wameshafika mbele ya haki,lililo bakia ni kuwaombea maghufra kwa M/Mungu ili awasamehe madhambi yao- amin.
Hata hivyo nimejawa na hasira pamoja na huzuni nyingi pale ninapoona baadhi ya Viongozi wa juu wakijaribu kuficha ukweli wa tokeo lilivyo huku wakitafuta njia ya kujificha na kuwaelemezea mzigo watu wengine ambao hawahusiki. Ni jambo la aibu na fedheha kubwa kuona kwamba Waziri kama Aboud anashindwa hata kumjua mmiliki wa meli hiyo, hivi sisi kama Raia tuwaelewe vipi viongozi wa aina hii ?HUYU NDIYE WAKWANZA KUJIUZULU LAZIMA AJIUZULU MAANA HATA MILIKI WA MELI HAMJUWI.
Mimi binafsi kama Raia mwema nahisi hakuna sababu ya kufanya uchunguzi kwani ukweli ni kwamba boti ambayo imepinduka haina uwezo wa kuchukua abiria na wala sio boti ya ya abiria ni ya kubeba maguniya ya michele,unga gano,sukari n.k leo mumewajaza abiria kwa makusudi na sasa mumeshatuuwa.hivi sasa watu dinuniani kote watu wanastaajabu, huku Serikali ikificha ukweli wa mambo ulivyo.Uwezekano mkubwa meli hiyo ni kwamba inamilikiwa na mtoto wa kiongozi au Waziri fulani, hao Wahindi wamepewa tu kama kufichwa sisi wanyonge, haiwezekani Waziri ashindwe kujua mmiliki wa meli hiyo, ni vichekesho vitupu.
Kama kuna watu wa kushtakiwa basi wawe ni viongozi wote wa juu kwani hili wamelisababisha wao hakuna haja ya kuwakamata madagaa mukawaadhibu wakati manyangumi na mapapa ndio wahusika. Na wale Viongozi wanaofikiria kwamba tukio hili watalizima kwa fedha kwa Wafiwa, ni kwamba wamechelewa hatuwezi kuuza utu wetu kwa fedha zenu, ndugu na jamaaa zetu mumeshawaua hizo fedha tumieni wenyewe. Kama kweli mwatupenda basi mungetununulia meli tokea hapo awali sio leo hii, watu wetu hata miili yao imeshindwa kupatikana.
Waliokufa ni wanyonge wa Mungu ndio maana no body care,haswa nyinyi viongozi serekalini ndio musio jali kabisa watu munatujali wakati wa KURA TU ILI MUKAE MADARAKANI MUSIO KUWA NA HAYA WALA FADHILI NYINYI SIO VIONGOZI NI MAJINI NA MAZWIMWI WAKUBWA itakuwaje boti ambayo imekuwa design kwa kuchukua mizigo, ipakiwe Binaadam zaidi ya ELFU MOJA ? Hivi viongozi wetu hawakuliona hili tokea awali ? Halafu unaona watu wanajitia huzuni, huzuni gani wakati waliokufa ni wanyonge musiowajali ? Hivi ni nchi gani isiokuwa na sheria ya kudhibiti vyombo vake vya baharini ?
Inakuwaje chombo kizame tokea saa saba usiku mpaka ifike saa moja asubuhi Serikali haina hata boti iliofika pale, zaid ya ngarawa za wavuvi,hii ni aibu na fedheha kwa Serikali. Jee wako wapi KMKM walevi wakubwa wa gongo,ambapo kwa uono wangu hizi ndio kazi zao sio kujifanya wakereketwa wakati wa uchaguzi kuwadhibu raia tu, haya yanatia uchungu sana waungwana na dungu zetu mulio dani ya nchi na nje ya nchi pia.Hivi tatizo la usafiri kati ya Unguja na Pemba limekuja kibati mbaya tuseme kama viongozi wetu hawalijui hili...? Kila mwaka tunafanya sherehe za Mapinduzi ya kipumbavu na yasiyokuwa na maana manake walio uliwa mapinduzi ni dungu zetu lakini sisi tunasherekeya tunaharimu mamilioni ya pesa, hivi hizi pesa zinapatikana vipi hata Serikali ishindwe na fedha ya kununulia meli moja ya uhakika..?
Hii ni kuonesha dhahiri kwamba viongozi wetu hawana imani na wananchi wanawaongoza ila wao umuhimu unakuja wakati wa kura tu.Inatia uchungu kuona Wahusika wanashindwa hata kuizuia meli ambayo hata kipofu anajua kwamba hii haitofika safari yake bila kuzama, matokeo yake inaachiwa kwa sababu ni ya tajiri fulani inauwa abiria wanyonge wasio na hatia. Hivi tutajifunza lini, kila siku ajali kama hizi imekuwa ni common kutokea Zanzibar huku wahusika hawachukui hatua yeyote ile. Leo hii Waziri anasema waliohusika watachukuliwa hatua, wakati yeye ndie miongoni mwa wahusika, hivi anatuletea dharau...?
Iko wapi coast guard, zipo wapi zile helcopta zilizowafyatulia Wapemba risasi au hazina mafuta leo hii..?, mbona magari ya maji ya muasho munayafuata china kuja kuwaadhibu raia wenu lakini boti ya kuokolea walala hoi hili haliwezekani sio nyinyi SIO VIONGOZI NYINYI NI MAJIBWA PORI NA NGURUWE PORI NYINYI NDIO MAANA MUNGELIKUWA VIONGOZI HAYA YASINGELITOKEYA.pia Kutokana na tokeo hili Serikali haina budi kubeba lawama zote na sivyenginevyo na wala musitulete kasumba hizi na zile kila muhusika anze kujiuzulu moja moja na hatuwa zichukuliwe,hapana budi kuwaomba radhi Wazanzibar kwani kilichofanyika ni kitendo cha maksudi na kila mtu anajua sio bahati mbaya hata siku moja.

PICHA ZA WATU WALIO KUFA NA WALIO OKOLEWA KWELI WATANGANYIKA NI DUNGU ZETU...?JE WAZENJI MUTAENDELEYA KUTUMIYA VODACOM...?

FURAHA TELE MISIBA YA WATOTO PEKE YAKE SIO MCHEZO LAKINI WAO WANACHEKA TU
MAITI ZA DUNGU ZETU ILA TANGANYIKA SISI SIO DUNGU ZAO NA HIZI NDIO DALILA WAZENJI MULIOKUWA HAMUJA MKAA AMKENI

HAPO JUU NDIO MAA MISS TANZANIA MKOLONI MWEUSI WAKIHEMUKWA KAMA MAZIMWI YAKIWA UCHAWINI HAPA CHINI WAZENJI TUJIKITAHIDI KUOKOA KIZAZI CHA KESHO KILICHO ZAMA NA MELI NCHINI KWETU HAPA ZANZIBAR
NA VODACOM NDIO WAO AMBAO HAWAKUWEZA KUSIMAMISHA ATI WATAPATA HASARA KWA HIYO KUPATA HASARA NA UHAI WA MTU KWAO WAO HASARA NI BORA ISIPATIKANE LAKINI KAMA WATU WATAKUFA SAWA WACHA WAFE HII NDIO MAANAKE NA KAMA SIO NIELIMISHENI DUNGUZANGU NA KILA MZENJI MWENYE KADI YA SIMU YA VODACOM KUANZIA SASA AKIWA BADO ANAITUMIYA BASI AJUWE NA YEYE PIA ANAWASAIDIYA HAWA KUKAMILISHA LAANA ZAO NA HUKU SISI TUKIWA NA MISIBA NA MAJUNZI YA HALI YA JUU KABISA
ANGALIYA UMATI UNAVYO SUBIRI MAITI NA WAO NDIO KWANZA WANACHEKA TU RAHA MANAKE
JIONE MWENYE MAUTI ZINAVYOTOKA BAHARINI NA HAWA WATANGANYIKA WANAVYO FURAHIYA HAPO JUU NA HALI WANAJUWA KUWA ZANZIBAR IMEPATWA NA JANGA KUBWA LA KUZAMA MELI ILA WAO HAWA HAWAJALI NDIO MAANA WALITUUWA 1964 MAPINDUZI NA MPAKA LEO WANATAKA TUFE SOTE ILI VISIWA WAVICHUKUWE WAO WAJENGE MAKANISA NA KUFANYA HIZI LAANA ZAO
JUU MAITI CHINI MISS TANZANIA MKOLONI MWEUSI ANACHEKELEA PESA ATAKAZO ZIPATA KWA KUTANGAZA POMBE NA KUVUWA NGUWO ZAKE NA KUONYESHA MANYAMA YAKE YANAYO NINGINIYA
                                                               JUU MISS TANZANIA MKOLONI MWEUSI CHINI WATOTO WALIO OKOLEWA BAHARINI

KUKA UTUPU NA KUUZA MWILI ILI KUPATA PESA

MAITI HIYO INAKUJA NA WAO PALE JUU POMBE NDIO ILIYO MIKONONI MWAU


SISI TUNA ZAMA WAO WANACHEKA KWA FURAHA KABISA
HIZI NI MAITI ZA WATOTO WALIO KUFA KTK MELI ILIYO ZAMA NCHINI ZANZIBAR KIZAZI CHETU CHA KESHO KIMETEKETEYA VIBAYA NAO WANAO ITWA DUNGU ZETU WA KITANGANYIKA WAO NDIO KWANZA NAFURAHA NA KUNYWA MIKOJO YA SHAITWANI USIKU KUCHA NA MCHANA KUTWA ATI MISS TANZANIA MKOLONI MWEUSI

JE HUU KWELI NI UBINADAMU....?
ONA MAITI ZA DUNGU ZETU NA WATANGANYIKA HATA HABARI HAWANA WANAKULA RAHA ZAO TU ZA MISS TANZANIA MKOLONI MWEUSI
SISI TWAFA MAJI WAO NDIO KWANZAAAAAAA
WASWAHILI WANASEMA AKUJUWAE KWA THIKI NDIO RAFIKI JE URAFIKI WAO UKO WAPI HAPAAAAAAAAAAAAA.........?
SISI TUNALIZANA WAO WANACHEKESHANA NA KUNYWA MKOJO WA SHETWANI
WANA GONGA CHEEEERRR SISI TUNAOKOWA DUNGU ZETU KISHA WAZENJI WENGINE
WANASEMA ATI WATANGANYIKA NI DUNGU ZETU KWELI LAKINIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
KILA MZENJI MWENYE KUTUMIYA VODACOM KUANZIA SASA AJUWE YEYE
MOJA KTK MWENYE KUWAKUSANYIA PESA HAWA WAFANYE LAANA ZAO NA
KICHAPO CHA MWENYEZI MUNGU KITATURUDIYA WENYE WAZENJI AMKENI


WAZENJI KAMA HATUJA AMKAA HATUAMKI TENA
SISI MSIBA WAO FURAHA NA NDIO MAMBO YAO HAYA TOKA 1964 WALIPOTUPINDUWA

MAITI ZA WATOTO WACHANGA HIZO HAPO NA TANGANYIKA KUNA MISS TANZANIA MKOLONI MWEUSI HABARI HANA ANAKULA RAHA ZAKE TU.
                                                           haya ndio yaliyokuwa yakitokeya nchini tanganyika siku ambayo dungu zetu zanzibar wanakatika roho zao
kwa kuzama na meli na habari wamezisikia ila hawakuweza kukatisha maana haya ndio muhimu zaidi kuliko
roho zilizo poteya ndani ya meli iliyo zama WANAO DAI TANGANYIKA NI DUNGU ZETU ONENI.
Tunaanza kampeni ya kuwa name and shame wahusika wa Miss Tanzania na Sponsor wao Vodacom. Wasusiwe kwa uovu wao kwa Wazanzibari. Huyu Hashim azuilie kwa ban kutozuru visiwani mwetu.Director na wahusika wa TBC1 wawajibishwe kwa kutothamini maisha ya wanyonge Zanzibar.