Saturday, September 10, 2011

MELI YA ZAMA NA BUSS LAPINDUKA NCHINI Z;BAR LEO NI MSIBA MKUBWA KTK NCHI YETU YA ZANZIBAR

Kuna taarifa kwamba meli ambayo imesadikika kuondoka Unguja kuelekea Pemba kwamba imezama, inayojulikana kwa jina la Spice Islanders huku ikiwa imesheni abiria na mizigo .Hadi hivi sasa taarifa ambazo zimetufikia ni kwamba Zanzibar imekumbwa na msiba mkubwa.na tarifa zilizo nifikia nikuwa mpaka sasa watu zaidi ya 200 wanasadikiwa wameshakufa ktk bahari ambako meli imezama huko nungwi na baadhi ya maiti zimeshafikishwa nungwi,maisara na hospital ya mnazi moja kwajili ya dungu na jamaa kutambuwa maiti zao.meli hiyo ilikuwa ikitoka unguja kuelekeya pemba pia kuna habari kuwa watu unguja walivyosikiya hivyo wakapanda buss kuelekeya nungwi kwenda kusaidiya waliozama na hawa waliokuwemo ndani ya buss nao pia wamepata ajali inavyosemekana buss limepinduka na watu wengi wamekufa leo ni siku ya msibaa mkubwa ktk visiwa vyetu vy unguja na pemba ila tujikazeni maana haya yote ni subahana wataala anafanya anavyotaka yeye natuwaombe dungu zetu duwa na m/mungu awaleze peponi amii. Kwa kifupi hali ni hiyo lakini kwa maelezo zaidi tutarifiana muda mfupi kutoka sasa ikiwa tumepata lolote la zaidi ila kila aliye na jamaa yake apinge simu kuliza na kujuwa zaidi m/mungu atupe moyo wa subira.
                                                                          M.V. Spice Islanders ILIPO ANZA KUZAMA NA KUTEKETEZA DUNGU
NA JAMAA ZETU HAPO NUNGWI NCHINI ZANZIBAR NA HUKU MKUU WA
BANDARI NA KEPTENI WA MELI WAKIJUWA KUWA WATU WAMEZIDI ILA
WAO HAWAJALI HAYO WANAJALI PESA TU BASI