Sunday, September 11, 2011

PICHA ZA WATU WALIO OKOLEWA KTK MELI ILIYO ZAMA NCHINI ZANZIBAR

RAISI WA NCHI YA ZANZIBAR NA MAKAMO WAKE WAKISHUHUDIYA WATU NA
MAITI ZINAZO TOLEWA KTK MELI ILIYO ZAMA.
WATU WALIOFIKA KUSHUHUDIYA NA KUJUWA KAMA KUNA JAMAA ZAO
RAISI NA MAKAMO WAKE WAKISHAURIANA NINI LA KUFANYA MAANA MPAKA
LEO ZNZ HATUNA COAST GUARD YA KUOKOWA WATU WALIOZAMA WENGI WAO
WAMEOKOLEWA NA WASWALIHINA NA BOTI ZAO ZA SAMAKI.
WAKO WAPI VIJANA WA KIZANZIBAR KUWA WAO NDIO MAJESHI NA FFU MBONA
HAWA WANAJESHI NA FFU WAMEKA KAMA WAGANDA.....?

No comments:

Post a Comment