Thursday, October 20, 2011

MUMMAR GADDAFI AULIWA NA VIJANA WA KILIBYA WANAO TAKA MAENDELEYO

HUU NDIO MWISHO WA UDIKTETA SADDAM NA SASA GADDAFI TUNATOWA ONYO KWENU NYOTE VIONGOZI WA ZANZIBAR KUANZIA RAISI SHEIN MPAKA SHEHA WA NYUMBA KUMI KUMI KUWA SASA VIJANA HATUSIKITENA LA MUWADHINI WALA MTEKA MAJI MSIKITINI NI MAENDELEYO TU KAMA HAKUNA BORA MUJIUZULU MUKINGANGANIA MADARAKA HUU NDIO UTAKUWA MWISHO WENU.NA PIA TUNATOWA ONYO KWA WALE WOTE WA TANGANYIKA WANAO SHADIDIA KUKANDAMIZWA KWA WAZANZIBAR KTK NCHI YAO KUWA MAJI YAKIMWANGIKA HAYAZOLEKI KWAHIYO BORA MUSHUGHULIKIYE TANGANYIKA YENU KULIKO KUTIA TIA VINDIMI VYENU NA CHOKOCHOKO ZANZIBAR MAANA HATUSHIDWI KUWALETEYA VYUWA MPAKA MUKAIONA TANGANYIKA CHUNGU KWAHIYO HATUTAKI TENA KIDOMODOMO TUACHIYENI WENYE ZANZIBAR YETU TUJIAMULIYE WENYE LA SIVYO UWONJENI MOTO KWA ULIMI MUONE CHENU.

No comments:

Post a Comment