Wednesday, November 16, 2011

TAARIFA RASMI YA MAANDAMANO NDANI YA NCHI YATU ZANZIBAR NA MULIOKUWEKO NJE YA ZANZIBAR PIAWAZANZIBARI WOTE WALIOPO TANZANIA NA NJE YA NCHI MNATAARIFIWA KUHUDHURIA MAANDAMANO YA AMANI KUDAI UHURU WA NCHI YETU YA ZANZIBAR NA MAMLAKA YETU CHINI YA UDHALIMU, YATAKAYOFANYIKA SIKU YA IJUMAA TAR 18 NOV.2011 SAA 7 MCHANA YATAANZIA VIWANJA VYA KOMBA WAPYA KUMALIZIA VIWANJA VYA MAISARA SHIME KILA MZANZIBARI KUFIKA NA UJUMBE WAKE NA MULIOKUWEKO NJE KUTANANENI NA MWENDE KATIKA JENGO LA OFISI YA U.N. KTK KILA NCHI HUU NDIO UHURU WETU WAZANZIBAR TUSIWACHIYE HAWA WAKATUMEZA NA KATIBA YAO WANAYO ILETA WAZANZIBAR AMKENI AMKENI AMKENI AMKENI HAKUNA KITU KIZURI KAMA MTU KUWA NA KWAO AMKENI .

3 comments:

 1. HATA SIS WA BARA HUKU TUTAFURAHI MKIVUNJA HUU MUUNGANO MAANA SASA MMEKUWA KERO KUBWA KWETU.
  MMEJAZANA NA BIASHARA ZENU ZOTE NA MALI ZENU MNAWEKEZA BARA KWANI KWENU MMEFUKUZWA. MUUNGANO MUUNGANO, NDIO NINI? ONDOKENI TU! KWA HAYO MAFUTA YENU, WAKATI MA GEOLOGIST TUNAZALISHA SISI.
  MKIVUNJA HUU NA JIANDAENI KUJITENGA PIA WA UNGUJA NA WAPEMBA. WAISLAM WANAFKI KAMA NYINYI HAMUWEZI KUENDELEA, MAANA HATA NYIE WENYEWE HAMPENDANI. HUKU BARA TUNASUBIRI KWA HAMU UVUNJIKE HILI WAPEMBA WARUDI KWAO MAANA MMEKUWA WENGI KAMA MBU. NENDENI MKAZAME NA BAHARI YENU.
  WATU MZALIANA KAMA KUMBIKUMBI.
  NI BORA MJITENGE HILI KULIKO KUKAA NA WANAFKI KAMA NYINYI.

  ReplyDelete
 2. Dear Friend, do you realize that what your saying about Wapemba, has done the whole of Tanganyika the world of good. If not for them and the Indian migrants who have come after the revolution, would your COUNTRY Tanganyika be where it is right now!!!!!
  If you don't know who was chasing the Wapemba outside their island, i will remember you...... it was YOU TANGANYIKA who came to kill them to distroy whatever prosperos live the Islands did have with your VIKAPTURA, (those days you don't know what throusers are) and you left them destitute.... but they know where to hurt YOU more !!!!
  By the way: why in every island you have stationed so many military basis? and still you are asking who is chasing us...... it is YOU MACHOGO's !!!!
  Tell your machogo military and police to get out of our islands so that we can protect and be governed by our OWN people now !!!!
  We are thought not to hate but you are making it very difficult for us.

  ReplyDelete
 3. POLE SANA MTU WA BARA!!
  Me natoka kilimanjaro but sioni sababu ya kukasirika Wazanzibar kujitenga katka muungano.Hi ni haki yao kama nchi huru, wamevumilia mengi, na wameteseka vyakutosha, Uwe tuu na fikra za ki ubinadamu Habar za kutaja Eti hadi Imani zao wazanzibar kuwa wao ni wanafki na imani yao!! Unataka kuonesha chuki za waziwaz za kidini,
  Na nikagundua kumbe wee mdini, Nadhani kama unashika panga kuwafukuza wapemba bara kumbuka Jaj Augustino Ramadhan ni Mkristo kule zanzibar, na wewe umewaita zanzibar ni waislamu wanafki na waondoke humu bara hao wapemba ....Hivo wale wakristo mlio wahamishia kule zanzibar Warudisheni wasije kuuwawa..kaka haya ni madai mazito sana jiangalie.
  hauna hata fikra moja sahihi yakueleweka kwa watu makini. bali chuki na udini zimekutawala. POLE SANA umia taratibu ndugu usitusababishie matatizo buree!! wabara wengine tunaona logic ya zanzibar kujitenga! achaneni na viongozi wa makanisa na chuki zao me kwa hapo sikubaliani nao wanipe ekarist na waniombee, nikatubu hayo basi ila sio yakuzulumu watu hayo sio mafunzo ya Mungu..bali njia ya shetani.... Hivi waislamu wana nini?? hadi makanisani uislamu utajwe tajwe ..Ibada zimeisha??
  piganeni kwa hoja sio kudhoofishana katka ibada wakiristo wenzangu mnisamehe! pamoja na wale mapadre na maaskofu zangu mnajijua tunapokua kanisani hanuishi waraka, na miongozo...Me nimechoka jamani!!!
  Mbona sjawai kuona hiyo hatari y waislamu???? ahkrrrr! mbona hatujengi tunabomoa!! Hivi ndo Mungu anavo taka??

  ReplyDelete