Tuesday, November 29, 2011

VIONGOZI WA ZANZIBAR HAMUONI AU NA NYINYI PIA NI MAFASIKI WA KUILINDA TANGANYIKA HAPA ZANZIBAR..?


MR SIGN THE PAPER OF EAC DONT BE SCARED!!!!!
HAYA NINYI MAJUHA WA ZANZIBAR MAZUMBUKUKU ULIMWENGU UKO NDANI YA MATUMBO YENU SOMENI HAPA MUELEMIKE NYINYI MAWAZIRI NA WABUNGE MUNAO MUONA HUYU SITTA SABA NANE TISA KUWA NI MWEMA...
leo inakuwaje Tanganyika wanapiga dane dane kutia saini inapokuja kutumika kwa Ardhi yao ambayo wao wenye wanasema ni kubwa kupitia hata mahitajio yao ,sasa hapa hapataki roketi sayansi mtu kutambuwa kuwa hawa watu ni mafasiki na wenye uaduwi mkubwa ndani ya nafsi yao inapofika kuifanyia thulma Zanzibar tujiulize kwanini wakatae nawao ndio wenye kupenda mambo yakunganisha....?
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta amegoma kusaini mikataba ya Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) unaohusu sera za ardhi, ulinzi na mambo ya nje.lakini mpaka leo wanatukandamiza na majeshi wa kitanganyika zanzibar na kuichukuwa ardhi yetu kuigeuza ndio ya kuzia vinyago na mabada ya madanguru ya wanawake wa kitanganyika wanao uza uchi wao kwa pesa ndogo kabisa na kutuleteya kila aina ya madawa ya kulevya na mapombe na magonjwa.na viongozi wa zanzibar wanalijuwa hili ila kimya majibwa koko nyie.Sitta ambaye anaongoza ujumbe wa tanganyika ((Tanzania)) kwenye mkutano wa Baraza la Mawaziri wa EAC unaofanyika hapa Burundi, aliwaambia waandishi wa habari kuwa suala hilo wamelikataa ili lirejeshwe kwa wakuu wa nchi kwa uamuzi.hahahahahahahahah na cheka sana simunapenda kuungana mbona munaogopa kungana na uganda,kenya,burundi na rwanda na nyinyi munapenda kuungana.....?wazanzibar amkeni amkeni.
Kutokana na hali hiyo ilibidi mkataba huo kusainiwa na nchi nne tu za Afrika ya Mashariki, Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda hivyo kuiacha nafasi ya saini ya Tanzania kubakia wazi.kwa nini sasa ibaki wazi na nyinyi munapenda muungano udumu muungano sijuwi kwa nini musi sign.......?
Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri wa Afrika Mashariki, Stragomena-Tax Bamwenda alisema jambo hilo ni nyeti, lakini akaweka bayana kuwa ujumbe wa Tanzania utapaswa kutoa taarifa kwa baraza kufafanua msimamo wao.
Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa tanganyika ((Tanzania)), Lazaro Nyalandu aliweka wazi kwamba suala la ardhi halipaswi kuwa sehemu ya EAC na ni kwanini na nyinyi mume sama wafrica sote ni dungu kwa nini sasa .....?kumbe watanganyika nyinyi ni wabaguzi wakubwa..? mbwaa nyie.Alionya kwamba kuna mazingira yanayoashiria kuwa baadhi ya wajumbe wa nchi za jumuia hiyo wamekuwa wakiangalia ardhi ya Tanzania kwa jicho la husuda.na nyinyi je mumeingali zanzibar na munaiangali zanzibar na mutaingalia zanzibar kwa jicho ngani wanafiki wakubwa m/mungu anawaubuwa kila kukicha.mumeifisidi zanzibar na kuihusudu na majicho yenu ya husuda sasa EAC inawajiya nyinyi munasema inawangalia na jicho la husuda hahahahahahahahahahah
Mbunge huyo wa Singida Kaskazini alisema tanganyika ((Tanzania)) ina ardhi kubwa ambayo inawapa nafasi tanganyika ((Watanzania)) kuchagua eneo la kwenda kuishi.Lakini akasisitiza kuwa ardhi hiyo lazima ibakie kwa ajili ya  tanganyika((Watanzania)) na vizazi vijavyo.
tanganyika((Tanzania)) imekuwa ikilalamikiwa na baadhi ya wanachama wa Jumuia kwa msimamo wake kuhusu ardhi hivyo kukwamisha juhudi za kuimarisha EAC.hahahahahahahahahaha nacheka sanaa hahahahahahahahahahahahahahahahaahahahhahahahahahahaha wanafiki nyie ahahahahahahahahahaha

No comments:

Post a Comment