Tuesday, April 3, 2012

ASHA BAKARI ALINDA FUPA LAKE LA UWAZIRI WAKE WA VITI MAALUM LISIMTOKE HAHAHA


Asha Bakari Makame katika kuchangia mswaada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbali mbali na kuweka masharti bora ndani yake, amewalaumu jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar kwa kuingilia mambo wasiooyajua akitaka waunde chama cha siasa kwanza na baadae ndio wakosoe Muungano.

1)je huyu kweli ni muislamu au muislamu jina..?
2)je chama na dini nini chenyi uzito zaidi..?
3)je mtu kama huyu kweli utamwita kiongozi wa kuitetea zanzibar..?
4)anasema waache kuingilia mambo wasio yajuwa je yeye mwenyewe anajuwa..?

No comments:

Post a Comment