Saturday, April 21, 2012

BALOZI IDDI AKHOFIA MUUNGANO UKIVUNJIKA MAJUMBA YA KIFAHARI ALIYOYAJENGA Z,BAR ATAYAKOSA


Tumejaribu kufuatilia sana kuhusu huyu makamo wa pili hapa nchini zanzibar kwanini anashikilia sana MUUNGANO.maana watu wakitaja MUUNGANO TU basi yeye huwa kama aliye ambiwa kuwa una kansa au jambo lolote la hatari kabisa.free zanzibar people from mkoloni mweusi.tukaona bora sasa tufuatiliya ili tujuwe ni kwa nini huyu jamaa anaumia sana akisikia au akiambiwa kuwa wazanzibar hawataki tena MUUNGANO inamuuma sana vijana walio mashuhuri kabisa na wanaujuwa kukamilisha kazi yao wakatulete habari kuwa BALOZI IDDI ana jenga anajenga na ameshajenga majumba mengi sana hapa zanzibar moja ktk hayo ni  Ukipita Fuoni utakuta Hekalu, ni jumba sawa na Ikulu ya Zanzibar.vijana wamebaini kuwa ni jumba lake mwenyewe kajenga lakustajabisha kuwa pembeni mwa kasri hilo alilojenga linalokaliwa na vijana wake tu sio yeye mwenyewe na  huku mzee akiishi nyumba ya Gov kuna wazanzibar wenye vijumba vya Tope na vumbi.akina mama wa karibu na kasri hilo maisha yao ya kuhurumiwa kabisa na hata hawajali.na hiyo ni Fuoni tu pia tumepata habari kuwa na Kitope Tunguu pia ana kasri jengine na kwengine makasri yanaendele  kuporomoka kwa kasi ambayo yote hayo ni yake sasa huyu ni kiongozi wa kuwalete wananchi maendeleo au ndio chukuwa chako mapema..?ndio tukamuwa kumeweka hapa ili wazanzibar wote waelewe kuwa BALOZI IDDI anachukizwa na kuvunjika kwa MUUNGANO kwa sababu anajuwa kuwa MUUNGANO ni wa kidhalimu na ukiwa haupo hata weza yeye kuishi hapa zanzibar maana itakuwa sasa kila moja ajieleze utajiri na majumba aliyojijengea vipi.ndio maana akawa mkali sana akisikia wazanzibar HAWAUTAKI MUUNGANO anajuwa itambidi arudi bara na kule hajajijenga kama alivyo jenga hapa pia alisema kuwa maisha bora kwa kila mzanzibar jee haya ndio maisha bora kwa kila Mzanzibar?
Balozi Seif Iddi, haya majumba ya kifahari unayoyaporomosha kila kona ndio maisha bora ya watu wa zanzibar?

No comments:

Post a Comment