Thursday, April 19, 2012

HISTORIA YA KWELI YA NCHI YETU YA Z,BAR KUSIMAMA NA KUANGUSHWA KWA DOLA YA Z,BAR

WAZENJI TUAMKE NA KAMA HATUJA AMKA WALA HATUTO AMKA TENA HUU NDIO WAKATI SOTE TUSHIKAMANE KWA MKONO MOJA DOLA MOJA NCHI MOJA YETU YA ZANZIBAR HAKUNA CUF WALA CCM WALA CHADEMA WALA CDA WALA NSSR WALA UBUYU SOTE SOTE KAMA TUNAITAKIA MEMA NCHI YETU YA ZANZIBAR BASI UAMSHO NDIO PAHALI PETU PAA KUSHIKILIA NA KUIKOMBOWA NCHI YETU YA JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment