Tuesday, April 3, 2012

MAPOLISI WA KIBARA WALIOJAZWA PEMBA WANABAKA BINTI ZETU NA SEREKALI KIMYA

MAHAKAMA ya kijeshi kisiwani pemba juzi kwa mara ya kwanza imesikiliza tuhuma za sakri polisi JOHN JOSEPH Bundala anaedaiwa kumbaka mwanafuzi wa miaka 17 kwa makusudi kwa njia ya kumthalilisha.
kamanda wa mkoa wa wakusini pemba Hassan Nassir amesema mahakama hio imesikiliza tuhama hizo zinazo mkabili mfanyaji kazi wao na kisha kukusanya ushahidi wa kina kabla ya kupandasha katika mahakama za kirai kwa mujibu wa ofisi yake.

Mtuhumiwa huyo mwenye miaka 30 ni muajiriwa wa jeshi la polisi katika kituo cha mkoani pemba anashtumiwa kwa kumbaka binti huyo(jina limeifathiwa)ambaye ni mwanafunzi wa darasa la sita aliyekuwa akifanya kazi nyumbani kwake.Hassan Nassir walikuwa wakisubiri ushahidi wa kiuhakika ndio wamfikishe katika vyombo vya sheria na akithibitika kuwa ametenda kosa hilo hatuwa ya kwanza ni kufukuzwa kazi.kwa mujibu wa tarifa ya mama mzazi wa mtoto huyo Bi Asha Ali Salum amesema mwanawe ni mwanafunzi na alimguduwa baada ya kumuona akitokwa na damu nyingi jambo abalo awali alikuwa ameficha kutokana na uwoga.

Bi Asha ansema mwanewa aliogopa kumueleza kutoka na kutishwa na mtuhumiwa huyo polisi akitaka asimtaje akaizungumza kwa upande wake afisa mthamini wa maendeleo ya vijana wanawake na watoto Bi Mauwa Makame rajab alisema baada ya kupokea taarifa ya tukio hilo walianza kufuatilia hatuwa kwa hatuwa kwa kuwashirikisha viongozi wa wilaya na masheha tukagundua kuwa kweli hilo tukio limefanyika
“Nilipopata tu taarifa hizikuwakuuamtoto kabakwa basi moja kwa moja nikawatafuta wahusika Mkuu wa Wilaya na Sheba tukafuatilia na kwenda kituoni na nikakuta tayari limeripotiva na nikasema tuone kama tayari batua zimechukuliwa kwa hivyo suala bili batuwezi kuliwacha hivi hivi tu likapita kwa sababu serikali imetuagiza kufuatilia maswala kama haya ily yakomeshwe kabis",  alisema Bi Mauwa. Alisema, mbali ya kwenda kituo cha polisi kuweka ripoti ambapo alikuta tayari taarifa zimeshafika, alifanya bidii ya kumtafuta mtuhumiwa na kuchukuliva maelezo yake na msichaua alipelekwa hospitali kwenda kufanyiwa utaratibu wa kuangaliwa  ambapomadaktari walithibitisha kuumizwa na kushauri kwanzishwa kutumia dawa za dharura za kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi. "Mtuhumiwa ni Askari wa kituo cha polisi cha Mkoani na alimtisha mtoto huyo asimtaje". Alisema Afisa Mdhamini huyo.
Bi Mauwa alisema jamii inapaswa kutambua kwamba hilo ni jambo baya na linatakiwa kukomeshwa katika jamii na kutoa wito kwa wananchi mbali mbali kutowaficha watu wanaotuhumiwa kufanya vitendo kama hivyo kwani vimekuwa vikinea katika jamii.
Hili ni tukio la pili kwa askari was jeshi la polisi kukutwa na tuhuma kama hizi ambapo Pandu Ndame alidaiwa kumbaka mtoto katika kituo cha polisi cha Chwaka mwaka jana na kufukuzwa kazi baada ya kuthibitika kuwa alitenda kitendo hicho.
Polisi huyo hakuwahi kushitakiwa katika mahakama kutokana na kukimbia nchini na kudaiwa kuhamia mikoa ya Tanzania Bara baada ya kutaka kushitakiwa katika mahakama ya kiraia.
Ndame alikuwa akichukua maelezo ya mtoto huyo ambaye alibakwa porini wakati akitafuta nazi na baada ya kwisha kuchukua maelezo ya kwisha kuchukua maelezo ya mtoto huya naye alimbaka kwa mara ya pili ndani ya kituo cha polisi cha Chwaka.
JE SHEIN VIPI MAMBO HAYA..?

 

 

No comments:

Post a Comment