Saturday, April 21, 2012

RAISI WA MIKARAFU MPAKA AKILALA ANAOTA MIKARAFU INAIBIWANGOJEYA SIKU UTIWE KABURINI NA SIKU YA KIYAMA IFIKE NDIO UTAJUWA UTAMU WA KULA KIAPO KUWA SIO KITU CHA KUTANIA HATA MARA MOJA PONDA MALI KUFA KWAJA WASWAHILI WANASEMA WEWE PONDA KARAFU ZA HARAMU KUFA KWAJA MAANA UNAJUWA WAZI KUWA NI KARAFU ZA HARAMU

Dkt Shein ameeleza hayo leo huko katika Ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Chake Chake Pemba wakati alipokuwa akiwashukuru Wajumbe wa Kikosi Kazi chaTaifa cha Usimamizi wa zao Karafuu Zanzibar na kuufunga msimu wa uchumaji wa zao hilo japo kuwa ununuzi mdogo wa zao utaendelea.
Amesema kuwa zao la Karafuu unaliingizia Serikali Fedha nyingi ukilinganisha na mazao mengine ya Biashara katika uchumi wa Zanzibar hivyo Serikali itahakikisha kuwa inachukuwa jitahada za zaidi kuona kuwa zao hilo linaimarika kwa kuipatia fedha nyingi Serikali.
Amesema kuwa kikosi kazi imefanya kazi ya ziada safari hii katika kulilida zao hilo lisitoroshwe kwa njia ya Magendo hivyo juhudi alisema ziendelezwe katika misimu ujao.

MUMEMSIKIA HUYU TUNAEMUITA RAISI WETU ANAVYO SEMA NAMNUKU((ZAO LA KARAFU INALIINGIZIA SERIKALI FEDHA NYINGI UKILINGANISHA NA MAZAO MENGINE YA BIASHARA KATIKA UCHUMI WA ZANZIBAR))HAKUSEMA KUWA ZAO LA KARAFU INALINGIZIA PESA NYINGI WANANCHI WANGU NA WAO WATAFAIDIKA ANASEMA SEREKALI SAWA TUACHE HAPO.
1)PESA NYINGI SEREKALINI JE MBONA HAKUNA HOSPITALI NZURI ZA SEREKALI.?
2)MBONA MPAKA LEO MAJI TABUU TUPU..?
3)MBONA MPAKA LEO UMEME ZIMA WASHA ZIME WASHA KAMA TUKO DISCO LA KOMBA PALE BWAWANI..?
MBONA WAFANYA KAZI WA SEREKALI MISHAHARA YAO HAIPANDISHI..?
4)MBONA HOSPITALI HAKUNA MADAWA..?
5)MBONA VYAKULA VINAONGEZEKA BEI KILA KUKICHA N.K
SASA HIYO SERAKALI INAYOPATA PESA NYINGI KTK ZAO LA KARAFU PESA HIZO ZINAPELEKWA WAPI...?NDIO NIKASEMA HATUNA VIONGOZI WOTE NI MAJIZI MAKUBWA HAYA HAKUNA CHENI WALA MNYORORO WOTE WEZI TU

No comments:

Post a Comment