Wednesday, April 18, 2012

TAARIFA KWA ZANJE WOTE WA NDANI YA NCHI NA NJE YA NCHI

                                                                     Mzanzibari juwa kuwa siku na saa ya ukombozi imefika kwa misingi na utaratibu wa kisheria. kwa hiyo tunatakiwa siku ya Ijumaa saa moja na nusu 1:30 asubuhi tunaarifiwa Wazanzibari sote wa unguja na pemba tufike katika viwanja vya BARAZA LA WAWAKILISHI Chukwani ‘Unguja’ kwa lengo la kudai haki yetu ya kikatiba juu ya kuwepo KURA YA MAONIDHIDI YA MUUNGANO kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar . Elewa kupigania haki ya nchi ni jihad. tafadhali ukipata ujumbe huu mtumie na mwengine.

No comments:

Post a Comment