Tuesday, April 17, 2012

VIJANA NA RAI WEMA WA ZANZIBAR WATAKA KURA YA MAONI


Baraza la Katiba limemaliza awamu yake ya utoaji wa elimu ya uraia juu ya katiba na huku baadhi ya wananchi wakiwa na maoni mbali mbali, picha hii ni baadhi ya wananchi waliofika katika viwanja wa Baraza la wawakilishi wakitaka baraza litoa maamuzi juu ya kuitishwa kura ya maoni wiki iliyopita hapa nchini zanzibar

HAWA NDIO WAKOMBOZI WA NCHI YATU YA ZANZIBAR WANAOTAKA ITOKA KTK MAKUCHA YA UKOLONI MWEUSI TANGANYIKA NA KUWA NCHI HURU KAMA NCHI NYENGINEZO DUNIANI UAMSHO



na mfumo wake kabla ya kuangalia suala la katiba mpya.Wa l i s e m a , j a p o w a p o Wazanzibari watakao                               hojai hiyo iwezekurekebisha kero za muungano, lakini wao wanataka ipite kwanza kura ya maoni ili
ijulikane kwamba Wazanzibari bado wanautaka muungano huo au la.A k i o n g o z a v i j a n a h a o
kiongozi wao, Rashid Salum Adiy alisema lengo la kukusanyika hapo ni kufikisha ujumbe kwa
Wawakilishi ambao pamoja na mambo mengine wanahitaji kuitishwa kura ya maoni itakayoamua mutastakbali wa
nchi yao ambayo imevamiwa na Tanganyika kimabavu kwa miaka kadhaa tokea walipoungana kwa khiyari kati ya viongozi walioasisi Muungano huo Mwalimu Nyerere na Mzee Karume. Mara baada ya kuwasili katika viwanja hivyo majira ya saa
moja kamili asubuhi, vijana hao walionekana wakiwa na mabango kadhaa yakiwa na maandishi ya kutaka kura ya maoni kwa kuwa Zanzibar ina sheria ya kuitisha kura ya maoni iwapo kutatokea jambo linalotaka kuamuliwa na wananchi wenyewe.
Kabla ya kuingia ndani ya viwanja hivyo askari dhamana waliokuwepo katika viwanja vya baraza hilo waliwazuwia
vijana hao na kuwaambia wasiingie ndani na ndipo taarifa zikasambazwa kwa kuitwa jeshi la polisi kutoka makao makuu
ya jeshi hilo wakitakiwa kuleta ulinzi mkali kudhibiti hali hiyo. Sio muda mrefu vikosi vya ulinzi na usalama vilifika eneo la tukio vikiwa vimejitayarishakimapambano lakini hali ghalfa ilibadilika baada ya uongozi wajeshi hilo kutaka mazungumzo
na vijana hao na kuingia ndani kwa pamoja huku gari za polisi wa kuzuwia fujo FFU zikiwa zimekaa kusubiri amri ya mkuu
wao wa jeshi hilo.Hata hivyo hali haikuwa mbaya kama vile kama ilivyosambazwa ambapo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Azizi Juma Mohammed alipata wasaa wa kuongea na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kutoka katika kikao cha pamoja ambacho kiliwajumuisha viongozi wa vijana hao, jeshi la polisi pamoja na uongozi wa Baraza la Wawakilishi.Kamanda Azizi alisema wamepokea taarifa kutoka vyanzo mbali mbali za tukio hilo na kwa mujibu wa umuhimu
wa chombo hicho cha kutunga sheria kuhitaji utulivu waliona ni muhimu kufika uongozi wa jeshi hilo na kutaka kujua zaidi juu ya kadhia hiyo ambapo baada ya kukaa na uongozi waliona mambo ni tofauti na taarifa za awali.“M i m i k a m a K a m a n d a mwenye dhamana ya mkoa huu kuhakikisha usalama unakuwepo muda wote nilipigiwa simu n i k a a m b i w a k u n a v i j a n a w a p a t a o 3 0 w a m e v a m i a katika viwanja vya Baraza la Wawkailishi wakilazimisha kuingia ndani, lakini baada ya kufika hapa nikakuta mambo ni tofauti na tumepata wasaawa kuongea nao lakini kumbe walikuwa wanataka kuonana na mwakilishi wao wa Jimbo la Kikwajuni ili kufikisha ujumbe wao kwa ambao wanasema muda mrefu wamewasiliana nao lakini amekuwa akiwazungusha”.Alisema Kamanda Azizi.Naye kiongozi wa kundi hilo Rashid alisema awali walimuandikia barua Mwakilishi wao lakini kwa kuwa amekuwa akiwazungusha na hatoi majibu,wameamua kumfuata katika kikao hicho cha Baraza.V i j a n a h a o a m b a o walionekana wakiwa watulivu sana walisimama kando ya barabara mbele ya jengo la Baraza la Wawakilishi wakiwa na mabango yao yanayosomeka kutaka kura ya maoni na kukataa
mchakato wa katiba kwa kutoa maoni juu ya katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Wakiwasilisha barua ya hiyo kwa Mwakilishi wa Jimbo la KiKwajuni (CCM) Mahmoud Mohammed Mussa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza laWawakilishi walisema baada ya kumuona Mwakilishi wao hatoa majibu sahihi wameamua kuja katika viwanja hivyo na
kuandika barua na kuwapa kila mjumbe wa baraza hilo ili kuona wanachotaka vijana hao.“ M h e s h i m i w a s i s i n i
wananchi wa Zanzibar hivi sasa tusiopungua laki tatu(300,000) tunaofikisha barua hii mbele yako kuwa ni sisitizo
la tunachokihitaji kikatiba kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 tolea la 201.Lengo la barua hiyo ni kupatiwa
haki ya kikatiba dhidi ya suala la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ili wananchi watoe ridhaa ya kisheria ikwapo
Muungano uendelee kuwepo au kutokuwepo.V i o n g o z i w e n g i n e waliopelekewa nakala hizo ni katibu wa Umoja wa Mataifa(UN), Katibu wa Baraza la Wawakilishi, Katibu wa Baraza la Mapinduzi, na kampuni ya Ojode Onjoro & Advocates

No comments:

Post a Comment