Thursday, April 19, 2012

WAZANZIBAR WAKIONYESHA HISIA ZAO KONGAMANO KIDUTANI NCHINI ZANZIBAR


TUNACHOTAKA NI UHURU WA NCHI YETU YA ZANZIBAR IRUDI KAMA ILIVYOKUWA JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR HATUTAKI MUUNGANO NA WABARA WALA KURA YA MAONI KULIZWA KAMA TUNATAKA MUUNGANO AU HATUTAKI TUSHAJIBU HATUTAKI KWISHA UBAKI UJIRANI TU KAMA KENYA NA Z,BAR AU UGANDA NA Z,BAR

No comments:

Post a Comment