Friday, April 20, 2012

WAZANZIBAR WANAO DAI NCHI YAO KUWA HURU NA ISIENDELE KUTAWALIWA NA WANYIKA WATANGANYIKAA WATIWA BARONI NA JESHI HILI LA KITANGANYIKA LENYE KUENDELEZA UDIKTETA DANI YA NCHI YA ZANZIBAR


MAJESHI YA SEREKALI YA TANGANYIKA MAKABURU NA BANGO LAO LA KUWAONYA RAI WA NCHI HII YA ZANZIBAR WAKATI MAJESHI HAWA SIO RAI WA NCHI HII NI MADIKTETA WANAO INSHIKILIA NCHI YA ZANZIBAR KWA GUVU YA JESHI

Jeshi la Polisi la serekali ya tanganyika inayoshikilia serekali ya zanzibar kwa mabavu na guvu za jeshi ikiwatisha na kuwaonya rai wa nchi hii ya zanzibar kuto kudai haki ya nchi yao ati wakijidai kutowa tahadhari hii ni binu mpya yao yakuonyesha kama wanahishimu haki za binadamu lakini sio ukweli hawa ni wauwaji wakubwa wa kizanzi cha zanzibar na wako tayari kuwa tena na tena ili rai wa zanzibar wasidai nchi yao kuwa huru na na kuendeleya kutawaliwa na watanganyika je wazanzibar mupo mupo mupo huu ndio mda sasa ndio kazi imeanza hakuna tena kurudi nyuma wala kuogopa mpaka waitowe nchi yetu ya zanzibar wangalie hawa hakuna hata kijana moja wa kizanzibar wote ni jamaa wa mrima mitwana iliyojazwa zanzibar.
MAJESHI YA SEREKALI YA TANGANYIKA BARA YAWAVAMIYA WANANCHI WA ZANZIBAR NA KUWASTOPISHA KUDAI NCHI YAO YA ZANZIBAR KUWA HURU MADIKTETA WA KIBARA WANAOISHIKILIA NCHI HII TOKA 1964 KWA GUVU YA JESHI
JESHI LA SEREKALI YA TANGANYIKA WAKOLONI WAUSI WAKIMSAKAMA NA KUMSUKUMA NA KUMPIGA MZEE WA KIZANZIBAR KISA ANADAI UHURU WA NCHI YETU YA ZANZIBAR JE HUU SINDIO UKABURU WATANGANYIKA NI MAKABURU WAUSI WAKOLONI WAUSI
MAKABURU WA KITANGANYIKA WAKIWASHIKILIA RAI HALALI WA NCHI YA ZANZIBAR NAKUWACHUKUWA KTK GARI LAO HILO KUWAPELEKA KTK POLISI YA UKABURUNI NA HATUJAJUWA HATAMA YAO VIPI WATU HAWA WALIO CHUKULIWA NA HILI JESHI LA KIKABURU KUTOKEA HUKO TANGANYIKA WAMECHUKULIWA  ILI WASIDAI HAKI YAO YA NCHI YAO KUWA HURU NCHI HII YA ZANZIBAR IMETAWALIWA KWA MABAVU NA GUVU ZA JESHI LA WAKOLONI WEUSI WAKUTOKA TANGANYIKA KWA NUSU KARNE SASA JE SHEIN NA SEIF MUTAUNGANA NA WAZANZIBAR AU NDIO NA NYINYI MUSHAMEZWA NA WATANGANYIKA..??????????
Jeshi la Polisi la tanganyika likiwachukua watu mbali mbali walikwenda katika viwanja vya baraza la wawakilishi kudai uhuru wa nchi yetu ya zanzibar na kuwa hatutaki tena kutawaliwa na hawa MADIKTETA WA KITANGANYIKA HATUTAKI TENA MUUNGANO NA WAO MAKUBALIANO YA MUUNGANO NI MIAKA 10 TU SASA NI NUSU KARNE PIA NCHI YA ZANZIBAR ILIPO UNGANISHWA NA YA TANGANYIKA WANA NCHI WA ZANZIBAR HAWAKULIZWA NA SASA HATUTAKI TENA MUUNGANO ILA SEREKALI YA TANGANYIKA INATUMIYA JESHI LAKE NA GUVU ZA JESHI KUTUTAWALA KWA LAZIMA HUU NDIO UDIKTETA
Jeshi la polisi la makaburu weusi na wakoloni weusi la tanganyika lilopo ndani ya nchi yetu ya zanzibar limewatia mbaroni watu zaidi ya 12 kwa madai ya kukataa kutii amri ya jeshi hilo la kigeni lakotoka ktk serekali ya tanganyika inayoitawala kwa guvu za kijeshi serekali ya jamhuri ya watu wa zanzibar kwa kutakiwa kuondoka katika viwanja vya baraza la wawakilishi, walipokwenda kuonana na Spika na Baraza hilo Pandu Ameir Kificho.KUMBUKA MZANZIBAR ZANZIBAR NI YETU BARAZA NI LETU SPIKA mnafiki lakini pia NI WETU NA SHERIA YA KATIBA YETU YA ZANZIBAR PIA INATURUHUSU KUJA HAPA NA KUDAI AU KUZUNGUMZA NA SPIKA AU MAWAZIRI SASA KWANINI HAWA WATANGANYIKA NA JESHI LAO LINGILIYE KATI TAYARI WASHAVUNJA SHERIA YA KATIBA YA ZANZIBAR HUU NI USHAHIDI KABISA KUWA WAO NDIO WATAWALA HAPA NA SISI NI WATAWALIWA NA WASIO AMINI SASA WAMINI KUWA ZANZIBAR INATAWALIWA KWA GUVU ZA KIJESHI LA WATANGANYIKA WAKOLONI WAUSI MAKABURU HAWA.WALITAKIWA WABAKI KAMBINI KWAO WAENDELE KULEWA ILA NDIO WANATUONYESHA WAZIWAZI KUWA HATUNA NCHI ATI WANASEMA SEREKALI YA JAMHURI JAMHURI GANI WAKAWANDANGANYE KOBE NA PANYA HILI NI BARAZA LA WATU WA ZANZIBAR SIO LA JAMHURI YA MUUNGANO WASHAVUNJA SHERIA TAYARI JE SEIF NA SHEIN MUPOO AU NDIO MUME JA USINGIZI WA IKULU...???
UDIKTETA UNAENDELEA WAKITANGANYIKA NCHINI ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment