Monday, April 30, 2012

WAZENJI WAKUSANYA SAINI YA KUTAKA KURA YA MAONI JUU YA MUUNGANO

 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) kwa kushirikiana na taasisi kadhaa za kiislamu za hapa Zanzibar zimeanza kutoa fomu ya kuitishwa kura ya maoni juu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. fomu hizo zinapatikana katika maeneo mbali mbali ikiwemo katika ofisi za Jumuiya ya Maimamu na Jumuiya ya Uamsho zilizopo Mkunazini Unguja
 na kwa watu binafsi zimeshasambazwa Unguja na Pemba katika maeneo mbali mbali kwa anayetaka awasiliane na taasisi husika na Kikwajuni zinapatikana.

No comments:

Post a Comment