Wednesday, May 30, 2012

ABOUD NA DUNGUZAKE WAKIPEYANA MAWILI MATATU


Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Aboud na sasa kweli anabudu na nchi ya zanzibar sote tunamshuhudia aboud anavyo abudu jamaa zake wa mrima hapa akiwa na dungu yake Askofu Mkuu wa Anglican Nchini Tanganyika,Dk Valontino Mokiwa wa kwanza kulia na Maaskofu mbalimbali  akizungumzia kuhusiana vipi kanisa litadumishwa nchini Zanzibar  na vipi mfumo mzuri wa kueneza dini hiyo hapa nchini zanzibar na aboud amesema atawasaidia sana sana kwa hali na mali nawajisikie wako nyumbani kabisa.

No comments:

Post a Comment