Wednesday, May 30, 2012

JESHI LA POLISI LA KIKURIA LAENDELEA KUNYANYASA WAZANZIBAR NCHINI KWAO MAKABURU WEUSI


Kijana wa nchi ya zanzibar akipata kichapo kutoka kwa jeshi la polisi la kikuria la kutoka nchi jirani ya tanganyika jeshi hili la kikuria kutoka tanganyika liko nchini zanzibar kwa muda wa miaka 48 sasa na wazanzibar hawatakitena kutawaliwa na wakuria wakutoka bara wanadai nchi yao na hawa wakuria wanawapiga na kuwanyanyasa wakuria wakitanganyika wamekuwa MAKABURU WA 2012 NDANI YA NCHI YA ZANZIBAR JE SHEIN HAWA WATACHUKULIWA HATUWA ZA KINITHAMU..? kwa kuwapiga rai wema au ndio basi yashakwisha.imethabitika kuwa kijana huyu alikuwa akipita tu na shughuli zake wao wamefunga njia maeneo ya barabara ya Amani na Magomeni Zanzibar ndipo walipomshika na kupiga na kupigisha vichura ZIKO WAPI HAKI ZA BINADAMU DR SHEIN...?

No comments:

Post a Comment