Friday, May 4, 2012

MAKAMU WA KWANZA WA NCHI YA ZANZIBAR MAALIM SEIF AKIWA RAS AL KHAIMAH KTK MOJA YA NCHI ZA UMOJA WA UAE


Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Ras Al Khaimah katika nchi za umoja wa UAE alipokutana nao wakati kiongozi wa Ras Al Kheimah Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasmi alipomualika chakula cha mchana, tarehe 2 Mei, 2012.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na kiongozi wa Ajman ambaye pia ni mjumbe wa Baraza Kuu la Uongozi la Ajman katika nchi za umoja wa UAE Sheikh Humaid Bin Rashid Al Nuaimi wakati walipokutana tarehe 01 Mei, 2012.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Ras Al Khaimah katika nchi za umoja wa UAE alipokutana nao wakati kiongozi wa Ras Al Kheimah Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasmi alipomualika chakula cha mchana, tarehe 2 Mei, 2012. Maalim Seif alipitia UAE akitokea India na anatarajiwa kurejea nchini leo jioni, tarehe 03 Mei, 2012. (Picha kwa hisani ya

No comments:

Post a Comment