Thursday, May 17, 2012

TUME YENU YA KATIBA MWISHO MSASANI NA MRIMA


hatutaki muungano na nyinyi na katiba ni yenu sio ya zanzibar hatuhusu kitu sisi
Tume ya kuratibu maoni ya Katiba yenu mwisho wake msasani na mrimaa hatuitaki zanzibar

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(Wanne kushoto Mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume yake ya kuratibu maoni ya Katiba yake ya nchi yake ya tanganyika wakati alipotembelea ofisi za tume yake hiyo Jijini Dar Es Salaam sura zenu zinaonyesha wazi wazi kuwa mushaiba sana serekalini na sasa munajitayarisha kula tena pesa za kharamu ati tume mawe mnamdaganya nani labda huko bara lakini JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR HATUTAKI HATUTAKI HATA KAMA MUMECHANGUWA VIJIBARAKA.
AMAA KWELI KIYAA KWELI KUNA MAMBO MUMEHADAIKA NA MAISHA MAFUPI YA DUNIA NA MUKO TAYARI KUENDELEZA THULMA ILI MUISHI MAISHA YA JUU YALIYO MAFUPI KABISA YUKO WAPI NYERERE,KARUME,OMARA ALI JUMA,JOHN OKELLO NA WENGINE WENGI TUU MUONGOPENI MWENYEZI MUNGU NYINYI.


No comments:

Post a Comment