Wednesday, May 16, 2012

WACHAFUZI WA MAZINGIRA KTK NCHI YA JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR


                   Wamachinga wakifungua saloni chini ya muarubaini hapo Darajani

Hali kama hii haiweze kuvumiliwa kabisa hapa nchini kwetu zanzibar. Ubaya zaidi ni kwa kila mwananchi  wa JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR mambo kama haya yakifanywa na wageni kutoka nchi za jirani na sisi rai wa nchi hii yetu tunayoipenda ya ZANZIBAR.  kuiona ni hali ya kawaidia.Hii sio hali ya kawaida hata kidogo.Je wazanzibar hatufahamu kuwa huu ni uchafuzi wa mazingira..?kama tunafahamu kuwa ni uchafu basi tusiwawache tu wageni wakaja kutuchafulia nchi yetu na kila mtu alikuwa na wajibu wa kukemea. Vijana hawa wakichoka tu kutembeza biashara zao wakikaa sehemu yoyote basi wao huwanza kunyowana, na pale wanapomaliza hakuna anayechukuwa hatua ya kusafisha.wananchi wa zanzibar haya ni mambo madogo ukiyangalia ila sio madogo ni makubwa sana sana athari zake. ndugu wananchi wa JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR TUWE MACHO NA TUKEME AINA YOYOTE ILE YA UCHAFU ANAYO FANYWA NA WAGENI WAKUTOKA NCHI ZA JIRANI.

No comments:

Post a Comment