Saturday, May 19, 2012

WATANGANYIAK HAWA NDIO WANAO NUFAIKA NA THAHABU,ALMASI,GASI ASILI,MAKAA YA MAWE NA NYINYI WANANCHI MNAKUFA NA NJAA AMKENI WATANGANYIKA


kikao cha kupanga vipi tutawalaghai wananchi wa nchi yetu ya TANGANYIKA na vipi tutaendelea kuiburuza JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR KIKIENDELEA MIJIZI UTAIJUWA TU
Hii ni kwa watanganyika wote ambao bado hawajamka na ambao bado wanaona kuwa chama tawala ccm ndio kitakacho wapa maisha bora.hii ni kudanganyana kabisa maana nchi hii toka ipate uhuru mpaka leo ndio kwanza umasikini unaogezeka na walio madarakani wanazidi kuvimbiana.musituchukiye wazanzibar kwa kutaka kuvunja muungano bali mushirikiane na sisi kuvunja muungano huu maana sio muungano bali ni pango la viongozi kujificha na kujitajirisha na kujinufaisha wao na familia zao huku wakiwawacha rai walio wengi katika hali ya umasikini na unyoge kabisa.inasikitisha sana kuona nchi kama QATAR,KUWEITI,na nyengine nyingi mno kuwa ni dongo na uchumi wao ni mafuta tu lakini wananchi wanaishi katika hali nzuri kweli kweli lakini ukija tanganyika muna,gasi asili,almasi,thahabu,makaa ya mawe,ardhi iliyo kubwa kwa kilimo,n.k. lakini mpaka leo watu wa nchi hii tanganyika wanaishi katika hali mbaya sana ya kimaishi na ukiangalio viongozi wao ndio kwanza hata habari hawana majumba kumi kumi kujinunulia au kujijengea kampuni mbali mbali ambazo ni zao ila hawasemi na mabanki na mambo mengineyo je watanganyika ni nani ktk nyie asiyetaka kuwa na maisha mazuri na wake zake na wanawe..?mbona hamuna lakini wake na watoto wa viongozi wanaponda mali mpaka inakuwa ni bala haswa.je watanganyika munataka kuishi katika maisha hayo mpaka lini..?angaliyeni ulimwengu unavyogeuka na muwache kuwalaumu wazanzibar kwa kutaka kujitenga na sasa nyinyi pia muanze kujiuliza vipi tanganyika yetu iko wapi na kwanini sisi ni masikini na nchi yetu inajulikana kuwa ni tajiri..?Rwanda ni nchi ndogo na haina kitu chochote kama walivyokuwanavyo tanganyika lakini angaliya inavyopiga hatuwa kila siku na tanganyika iko pale pale na viongozi ndio kwanza wanapanga ni vipi watawalaghai nyinyi na kuwafanya mazuzu ili wao waendele kupeta na kula raha amkeni watanganyika wacheni kuwanuniya wazenji kwa kutaka kujitenga sasa hamujuwi faida yake lakini baadae mutaona kuwa wowoow kweli wazenji wameona mbali sana ndio wakataka nchi yao.

No comments:

Post a Comment