Saturday, June 16, 2012

MAALIM SEIF HAPO VIPI..?


MAALIM JIUNGE NA WAZANZIBAR WALIO KUWEKA KATIKA UMAKAMO USIWACHE WAKAITWA KUWA WAO NI BUKO HARAMU,ALQAIDA NA AL SHABABBA HALI YAKUWA WEWE UNAJUWA KUWA WAO SIO HAO BALI NI WAZANZIBAR WANAO TAKA NCHI YAO.
Picha hii iliyopigwa tarehe 25 Julai 2010 inamuonesha Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, akipiga kampeni ya NDIO kwenye kura ya maoni ya uundwaji wa serikali ya umoja wa kitaifa.swali linakuja kuwa yeye kafanya wazanzibari waungane wawe kitu kimoja vipi leo wazanzibari washasimama kuwa kitu kimoja kuikombowa nchi yao yeye anasema watu kwanza wakachakachuwe mswaada wakati wanchi washasema hawana haja ya katiba mpya mpaka wapate kura ya maoni kulizwa kuwa wanautaka au hawautaki.kwanini asisimame tena nakusema wasikilizwe wananchi na kura ya maoni ipingwa kama ilivyo pingwa wakati wa kutaka serekali ya umoja wa kimataifa kwa nini asifanye hivyo..? au ile ilikuwa ni mbinu tu ya yeye kutaka kurudi madarakani..? tukumbuke alikuwa akipinga muungano kambla ya kuwa makamo wa raisi vipi leo autete muungano huwo ambao yeye mwenyewe anajuwa ndio maradhi sugu yanayo wamaliza rai wa zanzibar walio wanyonge wa maisha na hali duni.je maalim kachoka..? je maalim anasiri iliyo nzuri ya kuikomboa zanzibar ila hataki kutuambiya..? au maalim karidhika na fupa la umakamo wa raisi..?kwa nini asipige tena kampeni ya NDIO kwenye kura ya maoni ya kulizwa kama wazanzibar wanautaka au hawautaki hapa alikuwa ni katibu mkuu wa CUF na alifanya hivi leo ni makamu wa raisi kwali ndio hawezi kufanya hivyi au anaogopaaaaaaa.maalim wazanzibar tutaka WATUWACHIYEEE TUPUMUWEEEEEE

No comments:

Post a Comment