Sunday, June 3, 2012

MAKUREISHI WA ZANZIBAR WAFANYA MHADHARA WAO KWA AMANI JESHI LA POLISI LA KIKURIA LARANDARANDA PEMBENI


Wazanzibari wakiwasikiliza viongozi wa uamsho katika mhadhara uliofanyika leo jioni katika msikiti wa Mbuyuni baada ya jeshi la polisi la kikuria kutoka nchi jirani tanganyika kupiga marufuku kufanyika mhadhara katika viwanja vya Lumumba hapa nchini zanzibar ambapo ulinzi mkali uliimarishwa katika viwanja hivyo na jeshi la polisi wa kikuria ila haikuwa sababu ya kuzui mhadhara huo maana umafanyika na salama kabisa hii ni kuonyesha wazi kuwa wazanzibar ni watu wa amani ila jeshi la polisi la kikuria linatafuta kila njia ya kuwafanyia mabaya au kuwauwa wazanzibari nchini kwao m/mungu awangamize kama alivyomuangamiza firauni. Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) leo imefanikiwa kufanya mhadhara wake katika viwanja vya Malindi kwa hali ya amani. Mhadhara huo awali ulipangwa kufanyika katika viwanja vya shule ya Lumumba lakini jeshi la polisi la kikuria lilipiga marufuku na kutaka wananchi wa zanzibar makureshi wana vidakidaki kutoshiriki katika mhadhara huo kutokana na hali ya kiuslama ila makureshi wa zenji wanajuwa huu ni unafiki wa jeshi la kikuria kwa hiyo hawakuwasikiliza na wakaja katika mhadhara huo.
Viwanja vyote vya Lumumba jana vilionekana vimezingirwa na ulinzi mkali wa jeshi la polisi la kikuria tokea majira ya saa sita mchana huku magari ya polisi wa kutuliza ghasia FFU wa kikuria wakizunguka zunguka katika maeneo yote ya mji wa Zanzibar je wazenji mutamini sasa kama tunatawaliwa na kaburu mweusi tanganyika au bado hamujamini..?
Mwandishi wetu wa FREE-ZANZIBAR PEOPL FROM MKOLONI MWEUSI alishuhudia vijana mbali mbali wakiwa kando ya uwanja wa Lumumba na wengine wamesimama pembeni wakisubiri kuingia uwanjani lakini kutokana na hali ya ulinzi kuimarishwa wananchi hao walishindwa kusogea na walikaa umbali mkubwa wa uwanja huo.
“Ulinzi naona sio wa kawaida na inaonesha hawataki watu hata kusogea umbali wa mita mia mbili, si mnaona mabunduki yake yalivyosimamishwa..? Kila mmoja amebeba bunduki yake wamefunga kabisa uwanja” alisema kijana mmoja kureshi wa kizanzibari mwanakidakidaki ambaye alikuwa amekaa kusubiri kuingia uwanjani.
Maelefu ya waumini walihudhuria katika viwanja vya Malindi katika manispaa ya mji wa Zanzibar ambapo viongozi wa jumuiya hiyo walikutana na kukaa msikitini na kuanza kwa sala ya alaasiri na baadae kuanza mhadhara ambapo awali baadhi ya watu walikuwa wakiendele kusogea katika maeneo ya msikiti huo japokuwa kulikuwa na ulinzi mkali kuka kando ya barabara zote za darajani, malindi na barabara ya kuendea Bwawani.
Akizungumza kwa njia ya simu Kamishana wa polisi MNAFIKI MKUBWA MUSSA ALI MUSA HUYU BORA SASA TUMUITE JOSEPH alisema mhadhara wa Lumumba haukuweza kufanyika kwa kuwa jeshi la polisi lilitekeleza amri ya serikali ya kutoruhusu mihadhara na mikusanyiko katika kipindi hiki huyu anaona serekali bora kuliko muhadhara inayo elimisha watu duuuuuuuh.
Lakini alisema kufanyika kwa mhadhara huo katika viwanja vya Malindi wanahesabu kwamba bado hapo ni maeneo ya msikiti na hivyo hawajakataza watu kuendelea na shughuli zao za kidini iwapo watadumisha amani na usalama wa nchi WACHAA UNAFIKI WAKO SEREKALI NI NANI SHEIN AU SEIF AU WANANCHI AU JESHI LA KIKURIA NDIO SEREKALI SASA..?BABU YENU NYERERE ALIKUWA HIVYO HIVYO AKIZUI WAISLAM YUKO WAPI LEO NYERERE NA WEWJOSEPH ALI MUSA KAMISHANA ANGALIA SANA KABURI HALIKO MBALI CHEZEA KILA KITU ILA SIO DINI YA M/MUNGU USI INCHEZE KABISA.
Akizungumza katika mhadhara huo Sheikh Farid Hadi Ahmed amesema jumuiya na taasisi za kidini zitaendelea kufanya mihadhara yake na wataendelea kudumisha amani kwa kuwa lengo lao ni kutoa sauti yao ambao wanadai Zanzibar huru yenye mamlaka kamili.
Sheikh Farid alisema lengo la jumuiya hizo na kueleweshana namna ya kudumisha amani na utulivu hasa katika kipindi hiki ambacho wananchi wa Zanzibar wamegawanyika kutokana na misingi yao ya kivyama.
“Sisi bado tunahitaji kupata utulivu, amani na umoja na hivyo tunapaswa kuwa makini na watu ambao wamekusudia kutugawa lakini tuwe macho na watu kama hao” alitahadharisha Sheikh Farid.
Kwa upande wake Kiongozi wa Uamsho Sheikh Mselem Ally alisema wazanzibari wanadai Zanzibar yao na hivyo hakuna kitu ambacho kitawarejesha nyuma katika madai hayo hadi hapo watakapopata haki yao lakini wataendelea kudai mpaka mwisho wa nguvu zao.
“Sisi madai yetu ni kutaka Zanzibar yetu yenye hadhi na mamlaka kamili kwa hivyo haya yanayotokea ni lazima tuwe na busara na tuwe na subira katika kudai haki yetu lakini tutaendelea kudai mpaka mwisho” alisisitiza Sheikh Msellem.
Sheikh Msellem alisema wazanzibari baada ya kutenganishwa kwa miaka kadhaa sasa wanatakiwa kujua wanachodai ndnai ya muungano na wasikubali kabisa kugaiwa kwa misingi ya kivyama kwani kumekuwepo na kitendo cha makusudi cha kuwagawa waumini wa kiislamu.
Azzan Khalid Hamad ambaye alikuwa nje ya nchi kwa matibabu alisema wazanzibari wamegawanywa kwa muda mrefu na katika hili ilitokea khitilafu na baadhi na watu kuchukua nafasi ya kutaka kuwagawa tena jambo ambalo alisema wameweza kulirekebisha.
“Wakati wenzetu watanganyika wanaendeleza nchi yao sisi tunagombanishwa lakini tunasema kwa sasa hamtugawi tena na tumeshawafahamu “ alisema na kusisitiza suala la umoja na mshikamano kati ya serikali na taasisi hizo za kidini.
Alisema taasisi hizo zina imani kubwa sana na Rais wao Dk Shein lakini wanaamini kwamba kauli walizotoa wamezitoa kutokana na kupotoshwa na watendaji wao lakini wakaahidi kuwa na mashirikiano mema na viongozi wao kwani nia ni kuweka amani na utulivu katika nchi.
Jeshi la polisi lilionekana likiranda randa katika eneo la darajani, michenzani, na barabara za viwanja vya Malindi ili kudhibiti iwapo kutatokea vurugu lolote, lakini hata hivyo mhadhara umemalizika kwa salama bila ya kutokea fujo na wananchi wameondoka katika viwanja hivyo kwa usalama wakati jeshi hilo likiwa kando mno na wananchi waliokusanyika.

1 comment:

  1. Sasa hivi Machogo watajua kwamba hawawezi kutuzuia Wazanzibari kupata uhuru wetu, licha ya vitisho vya Kikwete, Sheni na Wapumbavu wengine Muhadhara umefanyika
    COME ON ZANZIBARIS THE FREEDOM IS COMING TOMORROW

    ReplyDelete